Sahani inajaa vipi? Unaweza kula vijiko viwili vikubwa wali ukwaeka na mchicha vijiko vinneNaweza kusema nakula hivyo ulivyosema, Ila mazoezi nimeacha kwasababu ya muda, still ngoma inapanda juu tu. Pombe sinywi often ni occasional drinker
Sahani haijai naweza kusema flat kabisa yani mboga nyingi, juice sinywi na soda sinywi. Ni maji na chakula tu. Breakfast nayo sometimes sili naweza kunywa maji tu nikatoka.Sahani inajaa vipi? Unaweza kula vijiko viwili vikubwa wali ukwaeka na mchicha vijiko vinne
Breakfast ni mlo muhimu wa siku kheri uruke lunch. Fikiria umekula saa mbili usiku, wakati umelala ubongo ulikuwa bado unakula chakula. Ukiamka unahitaji uustue tena.Sahani haijai naweza kusema flat kabisa yani mboga nyingi, juice sinywi na soda sinywi. Ni maji na chakula tu. Breakfast nayo sometimes sili naweza kunywa maji tu nikatoka.
Mimi dinner nakula saa 12 hadi saa 1 jioni, baada ya hapo ni maji kisha nalala. Shida yangu ni hii extended belly, nilidhani gas. Sina H.Pyroli nimefanya endoscopy niko safi. Napata choo laini na cha kawaida, frequency ina vary lakini hilo hata picha za CT-scan na MRI zinaonyesha sina mrundikano wa uchafu but why kitambi?Breakfast ni mlo muhimu wa siku kheri uruke lunch. Fikiria umekula saa mbili usiku, wakati umelala ubongo ulikuwa bado unakula chakula. Ukiamka unahitaji uustue tena.
Piga zoezi,Mimi dinner nakula saa 12 hadi saa 1 jioni, baada ya hapo nimaji kasha nalala. Shida yangu ni hii extended belly, nilidhani gas. Sina H.Pyroli nimefanay endoscopy niko safi. Napata choo laini na kawaida frequency ina vary lakini hilo hata picha za CT-scan na MRI zinaonyesha sian mrundikano wa uchafu but why kitambi?
Nitajaribu, ingawa muda ni mgogoro.Piga zoezi,
Inatengenezwaje hii green tea,sweet Mzigua maana huwa natamani Sana kuwa mdauNina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Mkuu una matatizo ya nguzu za kiume?Na juice ya mabungo vipi nayo ina udambwidambwi?, ...mimi huwa natumia sana ya tende inachanganywa na maziwa....hiyo nyoko aisee... ni mwendo wa kutupia kambani mwanzo mwisho..huku mwili ukiwa zile 3B....
..Ball control
...Ball Balance
...Ball Stamina.
Nashauri wale wazee wa Daly Kimoko...tusikose kuitumia...
Mkuu ulipotelea wapi? Tukafikri labda umechukuliwa na wasiojulikana?Ngoja nikaanze dosage
hapana mkuu hata sijapotea na wala sijatekwa..nipo huru kabisaMkuu ulipotelea wapi? Tukafikri labda umechukuliwa na wasiojulikana?
Inategemea na tumbo hauharishi mm natumia kuharisha ni mara 1,1 sana ukiunywa ukiwa mchachu bila sukari utaharisha na kuchefukaDaah. Nimeletewa ukwaju wa kutosha hapa na nilitaka nitengeneze juice kwa ajili ya familia lakini kumbe kuna kuharusha tena. Basi sitengenezi tena. Watatumia kwenye kutengeneza pilipili na wakati wa kula chips tu
Eeeeh.. unaweza ukaharisha kama siku 3 mfululizo. Ukila kitu tu lazima uende chooni.
Ni kweli unaondoa kitamb?Kwa heshimu yenu naombeni kuufufua uzi huu wakuu
Yeah .nimecorfimNi kweli unaondoa kitamb?
Unatumiaje tumiaje mkuu?Yeah .nimecorfim