Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Unatumiaje tumiaje mkuu?
Chukua ukwaju loweka kama nusu saa kisha chemsha kisha weka asali au sukari kisha kunywa

Lazima under chooni ila mi sina kitambi sikunywa kwa lengo hilo
 
Kama kuna watu wenye utaalamu wa masuala ya nutrition na mmeng'enyo wa chakuka kwenye mwili wa binadamu waje watusaidie ufafanuzi wa namna kitambi kinavyotokea na kinavyoweza punguzwa. Ila hizi assumptions watu wanazokuja nazo!!!!
Watu wanapenda kusikia wanachotaka na sio ukweli mkuu
Kina Jannabi na Kusenge kila Leo wanaeleza namna kitambi kinavyojengeka
Ni maamuzi ya mtu kuchagua anachotaka kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…