ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Chukua ukwaju loweka kama nusu saa kisha chemsha kisha weka asali au sukari kisha kunywaUnatumiaje tumiaje mkuu?
Lazima under chooni ila mi sina kitambi sikunywa kwa lengo hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua ukwaju loweka kama nusu saa kisha chemsha kisha weka asali au sukari kisha kunywaUnatumiaje tumiaje mkuu?
Sayansi mwitu 🤣🤣🙌Heheh hizi sayansi mwitu hizi...
Kwa hiyo kitambi ni furushi la mavi tumboni sio!!!
Watu wanapenda kusikia wanachotaka na sio ukweli mkuuKama kuna watu wenye utaalamu wa masuala ya nutrition na mmeng'enyo wa chakuka kwenye mwili wa binadamu waje watusaidie ufafanuzi wa namna kitambi kinavyotokea na kinavyoweza punguzwa. Ila hizi assumptions watu wanazokuja nazo!!!!