Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Na juice ya mabungo vipi nayo ina udambwidambwi?, ...mimi huwa natumia sana ya tende inachanganywa na maziwa....hiyo nyoko aisee... ni mwendo wa kutupia kambani mwanzo mwisho..huku mwili ukiwa zile 3B....
..Ball control
...Ball Balance
...Ball Stamina.
Nashauri wale wazee wa Daly Kimoko...tusikose kuitumia...
nayo unaenda choo etnh??
 
kitambi kinapunguzwakwa njia nyingi tu.

mwingine anaweza akafanya mazoezi na asipungue kisha akapungua kwa mkopo..

mwingine anapungua kwa maji mengi na wengine wanapungua kwa kwenda chooni sana..
Muhimu kitambi mara nyingi ni kinyesi kilichoganda masiku tele ..

haiwezekani mtu awe na kitambi kisha tuseme sio mabaki ya chakulbali mafuta tu...sasa hayo mafuta yametlkana na nini kama sio chakula ambacho kilibakia bila matumizi ??

ukila ukwaju unaenda kusafisha utumbo mpana na kukwangua mauchafu yote japo sio kwa siku moja au wiki bali tumia mfululizo

Hapo nakataa mkuu, hiyo ikitokea inasababisha constipation.

Chakula kikizidi mwilini kinaenda kutunzwa kwenye ngozi jambo ambalo ndio sababu kuu ya kitambi.

Hapa umezungumzia jinsi ukwaju unavyosafisha tumbo kwa kufanya upate haja kubwa vizuri ambapo utaruhusu utendaji kazi vizuri wa tumbo.

Kama tumbo liko poa mmeng'enyo wa chakula utakuwa poa na chakula kitaingia mwilini vizuri na kikizidi kinaenda kutunzwa kwenye ngozi.

Kwa mantinki hiyo mimi nataka nijue kivipi ukwaju utafanya chakula kilichotunzwa mwilini(ngozi) kipungue.

Nalifanyia kazi hili jambo nikipata jibu lake sahihi nitakupa mrejesho.
 
Kwenye maduka ya wachina ukwaju wanaufunga kama pipi, mwingine wanaweza pilipili kwa mbali mzuri kwa mimba changa
 
Hapo nakataa mkuu, hiyo ikitokea inasababisha constipation.

Chakula kikizidi mwilini kinaenda kutunzwa kwenye ngozi jambo ambalo ndio sababu kuu ya kitambi.

Hapa umezungumzia jinsi ukwaju unavyosafisha tumbo kwa kufanya upate haja kubwa vizuri ambapo utaruhusu utendaji kazi vizuri wa tumbo.

Kama tumbo liko poa mmeng'enyo wa chakula utakuwa poa na chakula kitaingia mwilini vizuri na kikizidi kinaenda kutunzwa kwenye ngozi.

Kwa mantinki hiyo mimi nataka nijue kivipi ukwaju utafanya chakula kilichotunzwa mwilini(ngozi) kipungue.

Nalifanyia kazi hili jambo nikipata jibu lake sahihi nitakupa mrejesho.
sawa mkuu lakini mimi nachosema ni kwamba haiwezekani chakula kilichobaki bila matumizi kikahifadhiwe kwenye ubongo wakati pahala pake ni tumboni

kwa hvyo hapo tumboni ndyo benki kuu ya viyu vyote....

nachojaribu kumaanisha ni kwamba kitambi asili mia kubwa ni mlundikano wa mavi na uchafu ungine katika utumbo mpana

utumbo unakuwa umegandwa na mauchafu mengi kwenye zile kuta zake hvyo njia inakuwa ndogo sana ya kupitisha hata kinyesi na kufanya kinyesi kingine kikwame humo na kubaki

na kikikwama nacho kinatengeza makazi kidogo kidogo na kuwa hapo kwa mda mrefu hakibaki kama mavi tena lazima kijibadili tu na kuwa kitu kingine lakini asli yake ni kinyesi
 
Poa
 
Njia za kuondoa kitambi ni mbili, upasuaji na mazoezi, haya mengine ni uongo mwingine huu
 
Hivi inaingia akilini?

Fat iliyopo tumboni eti iondoke kisa unakunywa ukwaju? Upo serious?
Mara sijui green tea?

Hivyo vitu vina components gani ambazo zinayeyusha fat yote hapo tumboni?

Hii ingekua kweli ungeona jinsi wazungu wanavyotengeneza version yao na kuinadi kwa nguvu zote. Namibia au Angola kama sijakosea kuna mimea ukila sasa hivi unaweza usisikie njaa mpaka kesho kutwa.

Wazungu wakaitransform ile mimea into pills vya kupunguza unene, ukwaju hawakuuona?
 
sawa mkuu lakini mimi nachosema ni kwamba haiwezekani chakula kilichobaki bila matumizi kikahifadhiwe kwenye ubongo wakati pahala pake ni tumboni

kwa hvyo hapo tumboni ndyo benki kuu ya viyu vyote....

nachojaribu kumaanisha ni kwamba kitambi asili mia kubwa ni mlundikano wa mavi na uchafu ungine katika utumbo mpana

utumbo unakuwa umegandwa na mauchafu mengi kwenye zile kuta zake hvyo njia inakuwa ndogo sana ya kupitisha hata kinyesi na kufanya kinyesi kingine kikwame humo na kubaki

na kikikwama nacho kinatengeza makazi kidogo kidogo na kuwa hapo kwa mda mrefu hakibaki kama mavi tena lazima kijibadili tu na kuwa kitu kingine lakini asli yake ni kinyesi
Duu! Hiyo sayansi yako ulisomea wapi mwenzetu? Acha kupotosha watu kama hujui bora ungenyamaza maana ulichokiandika ni mawazo yako na wala hakuna ukweli wowote!
 
Back
Top Bottom