Hapo nakataa mkuu, hiyo ikitokea inasababisha constipation.
Chakula kikizidi mwilini kinaenda kutunzwa kwenye ngozi jambo ambalo ndio sababu kuu ya kitambi.
Hapa umezungumzia jinsi ukwaju unavyosafisha tumbo kwa kufanya upate haja kubwa vizuri ambapo utaruhusu utendaji kazi vizuri wa tumbo.
Kama tumbo liko poa mmeng'enyo wa chakula utakuwa poa na chakula kitaingia mwilini vizuri na kikizidi kinaenda kutunzwa kwenye ngozi.
Kwa mantinki hiyo mimi nataka nijue kivipi ukwaju utafanya chakula kilichotunzwa mwilini(ngozi) kipungue.
Nalifanyia kazi hili jambo nikipata jibu lake sahihi nitakupa mrejesho.