Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Napenda sana vijana mnapeana connection na kufanya mambo ya maendeleo namna hii. MUNGU awasimamie hiki mnachotaka kujaribu kiweze kufanikiwa.... AmenUnapatikana wapi tufanye kitu cha maana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda sana vijana mnapeana connection na kufanya mambo ya maendeleo namna hii. MUNGU awasimamie hiki mnachotaka kujaribu kiweze kufanikiwa.... AmenUnapatikana wapi tufanye kitu cha maana?
Mkuu kuna kitu haujakielewa... Costs of Products kwenye Free Market... Azam atachouza yeye hapo huenda faida yake kwenye kila Tshs. 500 isifike hata senti hamsini
Kuna costs za production
Packaging
Promotion
n.k.
Wewe ukisema utengeneze kitu fresh kuna mambo kama shelf life na itabidi uuze at a premium price na ufanye marketing ya nguvu.., unachoweza kufanya ni kuangalia niche market (watu wachache waliokuzunguka kuwauzia fresh juice at a premium price).., na vyuma hivi vilivyokaza wapo wa kutosha..
Cha maana tafuta soko la nje watu wanaoweza kulipa premium price