Ukwaju! Ukwaju

Ukwaju! Ukwaju

Mkuu kuna kitu haujakielewa... Costs of Products kwenye Free Market... Azam atachouza yeye hapo huenda faida yake kwenye kila Tshs. 500 isifike hata senti hamsini

Kuna costs za production
Packaging
Promotion
n.k.

Wewe ukisema utengeneze kitu fresh kuna mambo kama shelf life na itabidi uuze at a premium price na ufanye marketing ya nguvu.., unachoweza kufanya ni kuangalia niche market (watu wachache waliokuzunguka kuwauzia fresh juice at a premium price).., na vyuma hivi vilivyokaza wapo wa kutosha..

Cha maana tafuta soko la nje watu wanaoweza kulipa premium price


Umeelewa vyema..na shida ya kilimo cha kwetu sio cha muda wote..ni msimu tu..so Kama ni kiwanda ni huge loss
 
Back
Top Bottom