Ukwel kuhusu biashara na bidhaa za forever living

mkuu imeningia akilini ... shukrañ
 
Mi nahitaji tu hzobidhaa zenu. Nipo shy ntazipataje hasa za ngoz yaan lotion
 
mr. II ni kweli ameongea nashukuru kwamchango kabambe nisije potea ndugu yenu ndio maana nataka nione maoni maana ndio wanunuz wenyewe nyinyi
 
Last edited by a moderator:
kunahuyo dada toka aanze kuniambia nami kuwamfwatiliaj amekua zaid yandugu sijui kila saa sms kupiga yaani yote kunishawishi niingie channel yake ....bado nazidi fanya uchunguzi nisije kulia bure
 
Mi nahitaji tu hzobidhaa zenu. Nipo shy ntazipataje hasa za ngoz yaan lotion

mikoa walioitaja siku ya semina yao sikumbuk vzuri kama shinyanga imo... ila naona mikoa kama iyo ndo mizir ukiwa kama mwanzilishi
 
kunahuyo dada toka aanze kuniambia nami kuwamfwatiliaj amekua zaid yandugu sijui kila saa sms kupiga yaani yote kunishawishi niingie channel yake ....bado nazidi fanya uchunguzi nisije kulia bure

Jiulize sasa je anakupenda na kukujali sana maisha yako? je anakuuzia bidhaa? maana na yeye anauza.....au anataka ujiunge?
That's pyramid scheme, inayotakiwa ni laki saba yako kwanza then mengine baadae
Na wakikupa bidhaa ushindwe kuuza(which is very possible) utaambiwa sasa kazana kuleta watu ili chaneli yako ikae vizuri
Matokeo yake mnaanza kutafuta wakuingia zaidi badala ya kuuza mabidhaa yasio uzika
 
apo ananitaka nimwongezee idadi ya wafuasi wake
 
DECI inahusika hapa
 
cc komeka..
binafsi baada ya uchunguzi wangu nimebaini ni biashara nzuri. Ingawa inahitaji effort sana.
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana na wewe mkuu,,you cn do alot wt laki sabaa na nusu kama kweli unataka kufanya biashara yako na siyo kumfanyia mtu kama hii forever sh.t..!
 
Last edited by a moderator:
nimeangalia watu wanayo ifanya naona wamefanikiwa kweli eti..... wananunua magari seriously

akili zako kama za JK ..kipimo cha maendeleo ni kuona barabara zimejaa magari..kwa hiyo na wewe unaona watu wananunua magari basi unajua wamefanikiwa!!!
 
akili zako kama za JK ..kipimo cha maendeleo ni kuona barabara zimejaa magari..kwa hiyo na wewe unaona watu wananunua magari basi unajua wamefanikiwa!!!

mimi wananisumbua kwenye whatsapp mara waseme wanapiga picha wakiwa ulaya na marekani ili kunitamanisha.
 
akili zako kama za JK ..kipimo cha maendeleo ni kuona barabara zimejaa magari..kwa hiyo na wewe unaona watu wananunua magari basi unajua wamefanikiwa!!!

Kumbe mengine ni ya mkopo
 
kunahuyo dada toka aanze kuniambia nami kuwamfwatiliaj amekua zaid yandugu sijui kila saa sms kupiga yaani yote kunishawishi niingie channel yake ....bado nazidi fanya uchunguzi nisije kulia bure

hahahaaaa chukua mzigo achana na biashara yake Avatar mok
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…