Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Hizo ni hatua za kuchukua lakini haziondoi ukweli unaobaki palepale - zimepungua!ata ukitumia vumbi la congo?
Hizo ni hatua za kuchukua lakini haziondoi ukweli unaobaki palepale - zimepungua!ata ukitumia vumbi la congo?
AmenLife the love you Love,
Love the life you life.
Mind your own business.
God forbidHapo tu ndio ninapokupendea dada ake😍
Kwakweli sikufichi, mtu wa kuniongezea ugumu kwenye maisha yangu sitaki kabisa anisogelee! Magumu niliyonayo yananitosha sana🤝🏽
🔥🔥ukweli ni mmoja tu nimekubaliana nao ni kujenga urafiki na dollar
Tatizo nae utakuta asha kukula matobo yote, utamwachaje mtu wa hivoHapo tu ndio ninapokupendea dada ake😍
Kwakweli sikufichi, mtu wa kuniongezea ugumu kwenye maisha yangu sitaki kabisa anisogelee! Magumu niliyonayo yananitosha sana🤝🏽
Wewe umeyakoroganya. Tunasema hivi;Life the love you Love,
Love the life you life.
Mind your own business.
Hata za kike, kuna wakati unafika zinapungua, ndiyo uhalisia wa maisha.Nguvu za kiume zinapungua!
Endelea kunipandisha sukariGod forbid
Hapo ndo umeongea point, ukishindwa kujiongeza usitegemee kuongezwa, utaishia tuu kulalamika na kulaumu watu bure, akili ndo mtaji wako akili ndo utajiri wako, tumia akiliMaisha yangu ni wajibu wangu kwa asilimia mia moja na ninawajibika katika yote yanayonihusu na sina sababu ya kumlaumu yeyote.
Nilishakukataza kuniquote usenge!Tatizo nae utakuta asha kukula matobo yote, utamwachaje mtu wa hivo
When people show you who they are 🚩🚩, believe them.Hapo tu ndio ninapokupendea dada ake😍
Kwakweli sikufichi, mtu wa kuniongezea ugumu kwenye maisha yangu sitaki kabisa anisogelee! Magumu niliyonayo yananitosha sana🤝🏽
Pole baby Njoo bobo nikubembeleze mama lake😘😘😘Nikishakukataza kuniquote usenge!
Exactly! Au kujaribu kumshape unavyotaka wewe ukiamini atakufaa, anaweza kukufaa kwa muda baadaye akarudi kwenye uhalisia wake, hakuna rangi utaacha kuona🙌🏾When people show you who they are 🚩🚩, believe them.
Usijitengenezee picha nyingine ya vile unavyotaka awe, hakuna tuzo ya kuteseka ambayo utapewa huku duniani.
Ni kweli maisha hayapo fair, ila ukikata tamaa unakuwa hauna tofauti na mfu!Hata usipo kata tamaaa,haimaanishi utafanikiwa,unaweza usikate tamaa na bado ukafeli tu haijalishi muda kiasi gani.!!