Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Wajomba leo sina habari za kijiweni.
Kuna binti mmoja niwahi kuwa naye kwenye tukawa marafiki kama mwezi hivi, sasa baada ya hapo alijiforce akawa anataka mahusiano, sikuwa na shaka sana nilijua hilo husiano likidumu labda miezi 3 tu litakufa, aysee si nikajaa kwenye mfumo?
Binti anajiweza kifedha sio haba, ana english figure ni mali kali ya kwenda na sio omba omba wala hana pigo za ajabu ajabu
Anyways!
Hapo kabla nilimuweka wazi kuwa nina mahusiano yangu na mwanamke (family friend) kwa muda wa miaka 3 sasa ila yeye
Siku alipokuja kwangu alikuta picha za babe mama ukutani na kila kona, hakusema neno zaidi ya "Tushindane kati yake na babe mama"
Baada ya ile siku nilianza kutomzingatia sana ili nijitoe kwake ila mdada hiyo akili hiyo ya kuachana hana yaan amegoma na anabidii kunitafuta balaa ananiambia lazima ashindane hadi siku ya harusi.
Ukweli anaujua kuwa sipo interested nayeye na mawasiliano yetu ni kwa ndikindikiki ila yeye hilo hataki kujua wala halimuhusu, juzi nilimuambia yeye kwangu ni mwanamke wa kando akajibu "Sawa hakuna shida tuendelee kuishi, hilo ni juu yako ninachojua wewe ni mtu wangu" nikachoka akili hahah
Nimekalima block kila pahali ila kananipata tu, maeneo yangu kanayajua kitendo cha kuja ni dk 0 tu 🤯🤣
Juzi kajua nipo mwanza kwasasa kaniambia anakuja kunitafuta mwanza muda wowote anafika, sijawahi kutana na mwanamke wa aina hii
Waungwana hebu nipeni tricks nikatoe vipi kwenye ramani?