Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu jamaa nilikuwa namfuatilia sana kwenye mashindano ya Olympic na yale ya jumuia za madola alivyokuwa anacheza ngumi za ridhaa, kila mechi alikuwa ana DUNDWA tuuKwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya muonekano wa game ya kwanza...
Halikuvunjika bali kidunda aliokolewa baada ya kuchanwaKuwa na subira kidoogo mzee, siwezi tia neno sababu sikufanikiwwa kuona lile lililovunjika.
Kwani lile la kwanza alipigwa?
uliza ana medali ngapi ?Huyu jamaa nilikuwa namfuatilia sana kwenye mashindano ya Olympic na yale ya jumuia za madola alivyokuwa anacheza ngumi za ridhaa, kila mechi alikuwa ana DUNDWA tuu
Ndyo alipigwa kwa technical draw. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa na subira kidoogo mzee, siwezi tia neno sababu sikufanikiwwa kuona lile lililovunjika.
Kwani lile la kwanza alipigwa?
Eti kapigwa kichwa halafu drooo !!Ndyo alipigwa kwa technical draw. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mandonga bhana !! ngumi moja tu chali !Huyu ndo kiboko yaoView attachment 2293385
Huyu nadhani mabondia wengi wataanza kumkimbia maana anatishaHuyu ndo kiboko yaoView attachment 2293385
Mkuu huyo alipigwa ngumi moja chali???Huyu nadhani mabondia wengi wataanza kumkimbia maana anatisha
Katompa ana ngumi nzito aisee!Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya muonekano wa game ya kwanza , huyo bondia mwanajeshi wa Tanzania aitwaye Kidunda hana uwezo wa kumpiga Bondia Mkongo Katompa , hata afanye mazoezi gani .
Mbinu pekee ya ushindi ni ile ile ya siku zote ambayo ni Mbeleko ya Majaji akina Antony Ruta na wengine .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Uyo ndie bondia aliye fanya vizuri katika ngumu za ridhaa Kwa miaka 10 iliyopita. Ndiye aliyekua aki ibeba Tanzania katika ngumi za ridhaa ana medali za kutosha na alikua captain wa timu.Huyu jamaa nilikuwa namfuatilia sana kwenye mashindano ya Olympic na yale ya jumuia za madola alivyokuwa anacheza ngumi za ridhaa, kila mechi alikuwa ana DUNDWA tuu
Medali ipi mechi zote za Olympic alikuwa anapogwa K.O? kuwa captain sio issue hata Taifa stars ina captain lakini wana kombe gani? Nipe mfano tu wa mwaka alipofika angalau robo fainali ya Olympic au commonwealthUyo ndie bondia aliye fanya vizuri katika ngumu za ridhaa Kwa miaka 10 iliyopita. Ndiye aliyekua aki ibeba Tanzania katika ngumi za ridhaa ana medali za kutosha na alikua captain wa timu.
Mwaka sikumbuki ila ndie bondia aliyekua tegemeo wa Tanzania katika amateur.Medali ipi mechi zote za Olympic alikuwa anapogwa K.O? kuwa captain sio issue hata Taifa stars ina captain lakini wana kombe gani? Nipe mfano tu wa mwaka alipofika angalau robo fainali ya Olympic au commonwealth
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan hatareee tupu.Eti kapigwa kichwa halafu drooo !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mandonga anazingua