Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya muonekano wa game ya kwanza , huyo bondia mwanajeshi wa Tanzania aitwaye Kidunda hana uwezo wa kumpiga Bondia Mkongo Katompa , hata afanye mazoezi gani .
Mbinu pekee ya ushindi ni ile ile ya siku zote ambayo ni Mbeleko ya Majaji akina Antony Ruta na wengine.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mbinu pekee ya ushindi ni ile ile ya siku zote ambayo ni Mbeleko ya Majaji akina Antony Ruta na wengine.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app