Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huyu jamaa naona miti ndiyo punching bags zake! Ana mikwara kweli kweli!Huyu ndo kiboko yaoView attachment 2293385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa naona miti ndiyo punching bags zake! Ana mikwara kweli kweli!Huyu ndo kiboko yaoView attachment 2293385
Kwa sababu alipigwa game ya kwanza na akaokolewa na Wazalendokwann unafikiri hivyo?
Nimeahirisha kukudhararu kwsababu fulani fulani...Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya muonekano wa game ya kwanza , huyo bondia mwanajeshi wa Tanzania aitwaye Kidunda hana uwezo wa kumpiga Bondia Mkongo Katompa , hata afanye mazoezi gani .
Mbinu pekee ya ushindi ni ile ile ya siku zote ambayo ni Mbeleko ya Majaji akina Antony Ruta na wengine .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sijawahi kukosea "Bila uzalendo kwenye vyumba hali isingesemeka"Nimeahirisha kukudhararu kwsababu fulani fulani...
Ahsanta
nimekudharau sanaSijawahi kukosea "Bila uzalendo kwenye vyumba hali isingesemeka"
Wachache sana watakuunga mkono.Sijawahi kukosea "Bila uzalendo kwenye vyumba hali isingesemeka"
sasa mbona umechelewa kunidharau ? wenzako walinidharau siku nyingi !nimekudharau sana
Mbona imevuja kote kote !Wachache sana watakuunga mkono.
Mimi ni mmoja kati ya hao wachache.
Sio kwamba hawajasikia, hawaelewi. Hata pambano lililopita, hawaelewi kua mbinu ya kumuokoa mjeshi ndo ilificha aibu.Mbona imevuja kote kote !
[emoji38][emoji38][emoji38] Noma sana !Sio kwamba hawajasikia, hawaelewi. Hata pambano lililopita, hawaelewi kua mbinu ya kumuokoa mjeshi ndo ilificha aibu.
Achana na kufuatilia ngumi, jaribu hata kushabikia rede huu mchezo huuelewi. Yaani mtu kafanyiaa faulo mbaya ya kupigwa kichwa cha makusudi hadi damu zikavuja na kushindwa kuendelea, unakuja kusema ameokolewa.Halikuvunjika bali kidunda aliokolewa baada ya kuchanwa
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sasa kichwa kinaruhusiwa kwenye ngumi? Technical draw ilikuja kwasababu hazikutimia raundi nne, kama zingetimia na kafanyiwa faulo mbaya hadi hawezi kupambana tena angepewa ushindi direct kwa mujibu wa sheria za ngumi.Eti kapigwa kichwa halafu drooo !!
[emoji38][emoji38][emoji38]Endeleeni kupanua magoli , halafu mbona ushindi wenyewe hamuushangilii kivile ?Achana na kufuatilia ngumi, jaribu hata kushabikia rede huu mchezo huuelewi. Yaani mtu kafanyiaa faulo mbaya ya kupigwa kichwa cha makusudi hadi damu zikavuja na kushindwa kuendelea, unakuja kusema ameokolewa.
Basi kama ulikuwa hujui kama zingekuwa zimetimia raundi nne angepewa ushindi moja kwa moja kwa faulo ile aliyofanyiwa, napo mngerudi kusema majaji walimbeba na kumpa ushindi.
Hakuna kuokolewa wala nini, mkongo alifanya figisu na kumpiga kichwa makusudi.