Ukweli kuhusu Bernard Morrison ni upi?

Sitaki kuamini kuwa Simba hii ninayoijua kuwa eti wamempa Morisson dola elfu kumi kama kishika uchumba wagawane yeye na wakala wake. Kama ni kweli walifanya hivyo basi hicho ni kituko cha mwaka kwa klabu ambayo inajigamba kila siku kuwa inaendeshwa kisasa na inafuata taratibu na sheria zote za FIFA, CAF, CECAFA na za nchi.
 
Huyo Morisson Kama anasema kweli basi hiyo game itakuwa imechezwa na yanga yenyewe tu.
 
Jinsi alivyoondoka Yanga ndio hivyo hivyo anavuoondoka Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…