Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaa. Shem tuwakaribishe Dodoma hawa kwamba leo tuna jambo letu.Tumeifaidi shemela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Shem tuwakaribishe Dodoma hawa kwamba leo tuna jambo letu.Tumeifaidi shemela.
Ndio. Huna habari?
Hahahaaaa. Shem tuwakaribishe Dodoma hawa kwamba leo tuna jambo letu.
Koh koh koh.Kweli mlikuwa na jambo lenu[emoji3]
Koh koh koh.
We sio mlalaji Mtani. Amka tu ukaangalie Tyiiviii. 😅Narudi kulala badae[emoji16]
Hahahaaaa. Shem tuwakaribishe Dodoma hawa kwamba leo tuna jambo letu.
Hahahaaa. Mtani mtusamehe sasa.Kweli jambo lenu tumeliona, lilikuwa kumvunja mwinyi kazimito kiuno! Hongereni Sana mtani
Pale kuna vikundi vya mabaunsa sio viongozi[emoji16]
Tumeshawasamehe lakini muwe mnawapima akili hawa mabaunsaHahahaaa. Mtani mtusamehe sasa.
Huyo Morisson Kama anasema kweli basi hiyo game itakuwa imechezwa na yanga yenyewe tu.Sitaki kuamini kuwa Simba hii ninayoijua kuwa eti wamempa Morisson dola elfu kumi kama kishika uchumba wagawane yeye na wakala wake. Kama ni kweli walifanya hivyo basi hicho ni kituko cha mwaka kwa klabu ambayo inajigamba kila siku kuwa inaendeshwa kisasa na inafuata taratibu na sheria zote za FIFA, CAF, CECAFA na za nchi.
sanaSimba wanakosea kununua wachezaji wanaotakiwa na Yanga au wale wa Yanga
Jinsi alivyoondoka Yanga ndio hivyo hivyo anavuoondoka SimbaKumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na mchezaji kipenzi cha wana yanga Bernard Morrison.
Ikumbukwe kuwa, week iliyopita yanga walisafiri kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui fc. Lakini mchezaji huyo hakusafiri na timu kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.
Kumekuwa na taarifa nyingi mitandaoni kuwa, mchezaji huyo ameshasaini mkataba wa awali na Simba sc.
Taarifa zingine zinadai kuwa mchezaji huyo anamkataba halali wa miaka miwili na Yanga sc.
Maswali ya kujiuliza, kwanini mpaka sasa mchezaji huyo ajajiunga na timu ili hali hana matatizo yeyote ya kiafya? Ni kweli amesaini Simba? Au amegoma makusudi kushinikiza madai yake dhidi ya timu hiyo?
Tusubiri sisi kama wadau michezo muda si mrefu tutajua, mbivu ni zipi,na mbichi ni zipi.
View attachment 1480196
Ulikuwa mbele ya mudaSimba wanakosea kununua wachezaji wanaotakiwa na Yanga au wale wa Yanga