Ukweli kuhusu biashara ya Forex


Kuna mahali nimeomba return?
Ningetaka ningeanza na wale wa Jangid
Ila kushtuka na kutoka na kurekebisha mambo yangu binafsi ni jambo la muhimu zaidi kuliko pesa
 
Kuna mahali nimeomba return?
Ningetaka ningeanza na wale wa Jangid
Ila kushtuka na kutoka na kurekebisha mambo yangu binafsi ni jambo la muhimu zaidi kuliko pesa
Tuliwaonya kuhusu jangid jamani.
 
Pacha kwenye nyuzi nyingi sana huwa tunakutana ila kunukuta hapa tu imekuwa nongwa
Nyingi tunakutana Ila sio zote. Kwenye Uzi wowote wa Forex lazima utie neno...la kusifia😎
 
Thank you
 
Wazoefu wa mechanical trading- zipi faida na hasara za automated trading (Expert Advisor/trading robots)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…