Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Akulipe
Kuna mahali nimeomba return?
Ningetaka ningeanza na wale wa Jangid
Ila kushtuka na kutoka na kurekebisha mambo yangu binafsi ni jambo la muhimu zaidi kuliko pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akulipe
Tuliwaonya kuhusu jangid jamani.Kuna mahali nimeomba return?
Ningetaka ningeanza na wale wa Jangid
Ila kushtuka na kutoka na kurekebisha mambo yangu binafsi ni jambo la muhimu zaidi kuliko pesa
Vipi hili tatizo umeshapata ufumbuziKuna mahali nimeomba return?
Ningetaka ningeanza na wale wa Jangid
Ila kushtuka na kutoka na kurekebisha mambo yangu binafsi ni jambo la muhimu zaidi kuliko pesa
Kama bado lipo tukusaidieUlitaka ulifumbue?
😆😆Nyuzi zote za forex huwa haziishi salama humu ndani!
PoleMmh nikikumbuka Sina hamu
Hii kitu iliyumbisha mpaka mahusiano yangu na familia
tena sanaForex is not for everyone....vichwa maji kama mimi piteni mbali
Mama wa Forex hukosekani kwenye nyuzi hiziAhaa okey, mimi huwa naheshimu mawazo ya watu siku zote ila maamuzi huwa naangalia utashi wangu mwenyewe
Pacha kwenye nyuzi nyingi sana huwa tunakutana ila kunukuta hapa tu imekuwa nongwaMama wa Forex hukosekani kwenye nyuzi hizi
Yaani wewe mimi nakuonaga una akili kumbe huna
Damn, who cares?Yaani wewe mimi nakuonaga una akili kumbe huna
Nyingi tunakutana Ila sio zote. Kwenye Uzi wowote wa Forex lazima utie neno...la kusifia😎Pacha kwenye nyuzi nyingi sana huwa tunakutana ila kunukuta hapa tu imekuwa nongwa
Sio kweli. Kwa mfano hapa neno gani la kusifia umeliona?Nyingi tunakutana Ila sio zote. Kwenye Uzi wowote wa Forex lazima utie neno...la kusifia😎
#1. Kuna mamia ya vitabu vya forex hapa: Traders Library
- Kwanza download telegram na weka kwenye simu yako / pc, Jisajiri
- Ndipo rejea kwenye hiyo link na telegram itafunguka
#2. {a} Inatakiwa uwe na trading stratergy uliyo ichagua, then soma vitabu vyake kuhusu hiyo stratergy, Sio kila kitabu cha forex kitakufaa.
{b} Soma zaidi vitabu vya trading psychology