Ni kumuunga mkono tu hamna namna maana huenda ni expert katika busness hii kwahiyo maoni yake yanatokana na uzoefu wake wa muda mrefu aliopata kipindi chote alichokuwa anafanya. maana sio rahis kukubali au kukataa kitu ambacho huna ufahamu nachoHeheheh daaah
Acha nicheke mie .
Watu wanajifanya wanajua kumbe waungua juaaaaa!!![emoji28]
Duuh..poleMmh nikikumbuka Sina hamu
Hii kitu iliyumbisha mpaka mahusiano yangu na familia
sasa nyie ndo wezi kazi kuwapiga wenzenu wakati soko lipo kapambane na soko sio kufundisha kiuchwarachwaraWelcome for training to join 2$ per week
Suala la mtaji ni subjective sana kwenye forex (nikiwa na maana kwamba lina pande mbili). Kuna watu wanaanza kutrade forex na mitaji mikubwa na wanafilisika vilevile. Siyo kweli kwamba kutrade forex na kumake profit lazima uwe na huo mtaji uliosema. Kuna watu wanaanza mtaji mdogo kama 500 usd au 1000 usd na wana pata faida. Kitu kikubwa ni knowledge na skills za kutrade forex. Kwa upande wa pili, ukiwa na mtaji mkubwa na ukawa na skills za kutosha (experience) utaweza kutengeneza faida kubwa katika kipindi cha muda mfupi ukilinganisha na mwenye mtaji mdogo given that wote mna skills na experience ya kutrade forex market! AM NOT COMPLETELY AGAINST YOUR IDEA BUT AM TRYING TO ELABORATE IT MORE CLEARLY!Biashara hii ya Forex inatakiwa uwe na minimum £100 000 (laki moja) then ufahamu trend ya currencies na uchumi wa major currencies country na trend. When they are wobbling etc. Then uwe mfuatiliaji wa current affairs za uchumi. (kwa maoni yangu).
Biashara hii ya Forex inatakiwa uwe na minimum £100 000 (laki moja) then ufahamu trend ya currencies na uchumi wa major currencies country na trend. When they are wobbling etc. Then uwe mfuatiliaji wa current affairs za uchumi. (kwa maoni yangu).
Umetoa jibu zuri,, Forex is not for everyone kuna mijitu kazi yao kukatisha watu tamaa, unakuta yenyewe either haijawahi kabisa kusoma forex au walikurupuka waka choma acc zao so wanachobaki ni kukatisha tamaa watu wengine wakati kila mtu anayefanya hii kitu anajua kabisa kuna 1,2,3Kama umechagua ukweli wako usitake kila mtu aelewe kama ulivyoelewa baki nao moyoni kwa faida yako. Untwisted.
Suala la mtaji ni subjective sana kwenye forex (nikiwa na maana kwamba lina pande mbili). Kuna watu wanaanza kutrade forex na mitaji mikubwa na wanafilisika vilevile. Siyo kweli kwamba kutrade forex na kumake profit lazima uwe na huo mtaji uliosema. Kuna watu wanaanza mtaji mdogo kama 500 usd au 1000 usd na wana pata faida. Kitu kikubwa ni knowledge na skills za kutrade forex. Kwa upande wa pili, ukiwa na mtaji mkubwa na ukawa na skills za kutosha (experience) utaweza kutengeneza faida kubwa katika kipindi cha muda mfupi ukilinganisha na mwenye mtaji mdogo given that wote mna skills na experience ya kutrade forex market! AM NOT COMPLETELY AGAINST YOUR IDEA BUT AM TRYING TO ELABORATE IT MORE CLEARLY!