Ukweli kuhusu biashara ya Forex

Ukweli kuhusu biashara ya Forex

Heheheh daaah

Acha nicheke mie .

Watu wanajifanya wanajua kumbe waungua juaaaaa!!![emoji28]
Ni kumuunga mkono tu hamna namna maana huenda ni expert katika busness hii kwahiyo maoni yake yanatokana na uzoefu wake wa muda mrefu aliopata kipindi chote alichokuwa anafanya. maana sio rahis kukubali au kukataa kitu ambacho huna ufahamu nacho
 
Biashara hii ya Forex inatakiwa uwe na minimum £100 000 (laki moja) then ufahamu trend ya currencies na uchumi wa major currencies country na trend. When they are wobbling etc. Then uwe mfuatiliaji wa current affairs za uchumi. (kwa maoni yangu).
 
Suala la mtaji ni subjective sana kwenye forex (nikiwa na maana kwamba lina pande mbili). Kuna watu wanaanza kutrade forex na mitaji mikubwa na wanafilisika vilevile. Siyo kweli kwamba kutrade forex na kumake profit lazima uwe na huo mtaji uliosema. Kuna watu wanaanza mtaji mdogo kama 500 usd au 1000 usd na wana pata faida. Kitu kikubwa ni knowledge na skills za kutrade forex. Kwa upande wa pili, ukiwa na mtaji mkubwa na ukawa na skills za kutosha (experience) utaweza kutengeneza faida kubwa katika kipindi cha muda mfupi ukilinganisha na mwenye mtaji mdogo given that wote mna skills na experience ya kutrade forex market! AM NOT COMPLETELY AGAINST YOUR IDEA BUT AM TRYING TO ELABORATE IT MORE CLEARLY!
 
Duuh dunia nzima hamna broker mwenye kuhitaji minimum deposit ya £100000 ili utrade
Biashara hii ya Forex inatakiwa uwe na minimum £100 000 (laki moja) then ufahamu trend ya currencies na uchumi wa major currencies country na trend. When they are wobbling etc. Then uwe mfuatiliaji wa current affairs za uchumi. (kwa maoni yangu).
 
jay311, Mkuu hela ya forex ipo kwny market liquidity, yaan kwa kiswahili ni mzunguko ambao mabank makubwa,financial institutions,big companies na watu binafs walishainvest miaka na miaka, market liquidity ya forex kwa sasa ni zaid ya $ trillion 7 ambayo ni kubwa kuliko any financial stock in the world.

Asante.
 
Kama umechagua ukweli wako usitake kila mtu aelewe kama ulivyoelewa baki nao moyoni kwa faida yako. Untwisted.
Umetoa jibu zuri,, Forex is not for everyone kuna mijitu kazi yao kukatisha watu tamaa, unakuta yenyewe either haijawahi kabisa kusoma forex au walikurupuka waka choma acc zao so wanachobaki ni kukatisha tamaa watu wengine wakati kila mtu anayefanya hii kitu anajua kabisa kuna 1,2,3

Forex ni long term investment, lengo ni kutengeneza pesa na kulinda mtaji wangu huku nikiuukuza kutokana na market movement inavyosema (hasara za watu wengine kama wanaliwa mimi hazinihusu cause life battle is me vs me not me vs others)

Sasa anakuja mtu na maswali ya kipumbavu nae anajikuta ninja kisa hakuna aliyemjibu ([emoji23] Upuuuuuuzi mtupu)
 
LURIGA,
you are right brother,, mimi niliingia na $11 nikapiga $ 111 ndani ya siku moja.
watu wanakuwa na negativity nyingi, forex ni business nzuri,, SIKU ZOTE nasema "FOREX is not a game for everyone'' inahitaji ujifunze , na kujifunza kwenyewe sio kwa demo kama unataka kujifunza forex weka real money tena sio cent .. sababu kwenye demo huwezi jifunza vitu kama saikolojia ya soko, emotions, risk management coz that is not your money.

you need to invest in both time and money,,, ndio utajifunza,,, kama hupigi pesa na unakuja na negativity zako,,,usikatishe wenzako tamaa...utaendelea kuwa na negativity zako game inaenda.
 
Attachments

  • Screenshot_20191026-164102.png
    Screenshot_20191026-164102.png
    4.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20191027-163331.png
    Screenshot_20191027-163331.png
    5.1 KB · Views: 13
Suala la mtaji ni subjective sana kwenye forex (nikiwa na maana kwamba lina pande mbili). Kuna watu wanaanza kutrade forex na mitaji mikubwa na wanafilisika vilevile. Siyo kweli kwamba kutrade forex na kumake profit lazima uwe na huo mtaji uliosema. Kuna watu wanaanza mtaji mdogo kama 500 usd au 1000 usd na wana pata faida. Kitu kikubwa ni knowledge na skills za kutrade forex. Kwa upande wa pili, ukiwa na mtaji mkubwa na ukawa na skills za kutosha (experience) utaweza kutengeneza faida kubwa katika kipindi cha muda mfupi ukilinganisha na mwenye mtaji mdogo given that wote mna skills na experience ya kutrade forex market! AM NOT COMPLETELY AGAINST YOUR IDEA BUT AM TRYING TO ELABORATE IT MORE CLEARLY!

Why you need pesa nyingi? Ukiwa na pesa kidogo huwezo kuweka akili sawa sawa maana ukipoteza 50% ya hicho kidogo una-panic. Kwa ufupi ingia kwenye demo account ufanye utafiti kwa at least mwaka moja then anza trading proper, usiingie kichwa kichwa utalia. Ukifanya demo trading kwa mwaka moja then weka pesa zako, ndio sababu nikasema at least uwe na kiasi hicho cha pesa. Then weka realistic target ambayo unategemea kwa muda flani. All the best, lakini ushauri wangu fanya trading kwenye shares kuliko currencies.
 
Back
Top Bottom