Suala la mtaji ni subjective sana kwenye forex (nikiwa na maana kwamba lina pande mbili). Kuna watu wanaanza kutrade forex na mitaji mikubwa na wanafilisika vilevile. Siyo kweli kwamba kutrade forex na kumake profit lazima uwe na huo mtaji uliosema. Kuna watu wanaanza mtaji mdogo kama 500 usd au 1000 usd na wana pata faida. Kitu kikubwa ni knowledge na skills za kutrade forex. Kwa upande wa pili, ukiwa na mtaji mkubwa na ukawa na skills za kutosha (experience) utaweza kutengeneza faida kubwa katika kipindi cha muda mfupi ukilinganisha na mwenye mtaji mdogo given that wote mna skills na experience ya kutrade forex market! AM NOT COMPLETELY AGAINST YOUR IDEA BUT AM TRYING TO ELABORATE IT MORE CLEARLY!