Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo ilipelekea familia yako kuyumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo ilipelekea familia yako kuyumba?
Ndo ilipelekea familia yako kuyumba?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Pole Sana.Mmh nikikumbuka Sina hamu
Hii kitu iliyumbisha mpaka mahusiano yangu na familia
Hahahaha Just HahahahaCheka tu
Naona unaelekea kibra
Utarudi tucheke wote
Kiukweli kwa majibu haya wewe ni miongoni mwa id ninazotakiwa kukutana nazo ana kwa ana.Nilipoteza 10$
Tuliwaambia kwa sauti kubwa!Mmh nikikumbuka Sina hamu
Hii kitu iliyumbisha mpaka mahusiano yangu na familia
Mkuu nafatiliaga coment zako kuhusu mambo mengi sana ikiwemo hili la forex, hv unatoa mafunzo yoyote kuhusu fx?#1. Kuna mamia ya vitabu vya forex hapa: Traders Library
- Kwanza download telegram na weka kwenye simu yako / pc, Jisajiri
- Ndipo rejea kwenye hiyo link na telegram itafunguka
#2. {a} Inatakiwa uwe na trading stratergy uliyo ichagua, then soma vitabu vyake kuhusu hiyo stratergy, Sio kila kitabu cha forex kitakufaa.
{b} Soma zaidi vitabu vya trading psychology
Hahahaha Just Hahahaha
Endelea kusubiri meli ubungo.
Kiukweli kwa majibu haya wewe ni miongoni mwa id ninazotakiwa kukutana nazo ana kwa ana.
Tuliwaambia kwa sauti kubwa!
Pole mamii, uliacha?
Au $10 elfu?Ndo ilipelekea familia yako kuyumba?
Familia ikayumba?Nilipoteza 10$
Labda alimaanisha $10,000Au $10 elfu?
Sijaelewa bado...
Hivyo eeh? Mimi mbona sijawahi kuwa kwenye ubishani kuhusu forexnakukumbuka ndugu.. ulikuwaga mtetezi wa forex sana. na msemo wako kwani shilingi ngapi ..
Hujaelewa kwa kuwa ni hujui kusoma between lines...amempa jibu hilo kwa kuwa ameona anamghasi kutaka kujua vitu visivyomhusuAu $10 elfu?
Sijaelewa bado...
Jibu ni ndio na hapana.Mkuu nafatiliaga coment zako kuhusu mambo mengi sana ikiwemo hili la forex, hv unatoa mafunzo yoyote kuhusu fx?
Mkuu unaweza kunisaidia kujua katika biashara ni faida kiasi gani linapaswa kuwekwa kwenye huduma au bidhaa juu ya gharama za uzalishaji?#1. Kuna mamia ya vitabu vya forex hapa: Traders Library
- Kwanza download telegram na weka kwenye simu yako / pc, Jisajiri
- Ndipo rejea kwenye hiyo link na telegram itafunguka
#2. {a} Inatakiwa uwe na trading stratergy uliyo ichagua, then soma vitabu vyake kuhusu hiyo stratergy, Sio kila kitabu cha forex kitakufaa.
{b} Soma zaidi vitabu vya trading psychology
Hivyo eeh? Mimi mbona sijawahi kuwa kwenye ubishani kuhusu forex