ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
kuanika tu inachukua karibia miezi sita, anika anuaNiliwahi kusoma mahal hichi kilimo, kinachukua zaidi ya mwaka mmoja kuanzia kupanda, kuvuna, kuanika na kuhifadhi ndani ili ile chemical ya Vanilin ambayo hasa ndo inayolipa hili zao thaman iweze kujitengeneza. Hii vanilin inatumika sana kwenye kutengeneza manukato, kwan hata ukiwa umeihifadhi tu ndan baada ya kuanika kwa muda mrefu basi hayo maeneo yatakua yananukia sana
Kinacho fanya kilimo hiki kisiwe rahisi ni kuwa zao hili linahitaji Tender Love and Care TLC kuanzia kwenye kitalu hadi kuanika na kuhifadhi. Ukikosea step moja tu umepoteza ubora.
duh kwa hiyo hawa jamaa wa Vanilla International ni wapigaji au?....sasa nashangaa kama hivyo wanathubutu kutangaza biashara hii kwenye ITV tena primetime katikati ya taarifa ya habari....halafu wanakuwa wapigaji duh!
Are you sure? Leo kuna mdau amekuja na mizuka kibao anataka kwensa Njombe kwa ajili ya kilimo cha vanilla.Iyo 10m iweke kwenye betting... Utakuja kunishukuru siku vannila n scum [emoji56]
Sio rahisi hivyo..ingekua rahisi kila mtu angefanya.Are you sure? Leo kuna mdau amekuja na mizuka kibao anataka kwensa Njombe kwa ajili ya kilimo cha vanilla.
Kuna wale wanaojutangaza ambao wako kwenye soko la hisa jatu sijui jatuMr.Kuku nae alikuja hivi hivi ila raia walishasahau yaliyotokea wakati wa DECI. Tufanye kazi kwa bidii.
Usipende kuambiwa kila kitu mkuu fatilia hata mashamba darasa ujionee,nna jirani kalima mwaka wa pili huu hajavuna sio kilimo faida ya haraka tafuta kampuni ya Ney ltd moshi ndio wanadili na hii kituWadau
Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe.
Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza iliyochakatwa ni kama 720m
Sasa hapa nataka kujua kwa nia nzuri tuu kama humu jamvini kuna mtu alishawahi kuwekeza kwenye mradi huu na matokeo yake yakawaje?
Seriously , nataka kujua kabla sijaimimina hela yangu humo!
Pia ukweli wa soko lake la dunia likoje?
Natanguliza shukrani ,karibuni.
Hii saffron kwa Tz inalimwa wapi?Vanilla ipo kwenye kundi la viungo ( spice) Shida ya vanilla ipo kwenye uchavushaji wake pia inataka kimvuli na miti ya pembeni ili iweze kutambaa kwenda juu
Kuhusu thamani yake kwenye upande wa viungo ni yapili ukiachana na Saffron