Mariki boy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 359
- 1,155
Kwa Tanzania sizani lkn huwa inalimwa sana inch za Uwarabuni uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania sizani lkn huwa inalimwa sana inch za Uwarabuni uko
Hichi kilimo kwani inashindikana nini kukileta Tz.Kwa Tanzania sizani lkn huwa inalimwa sana inch za Uwarabuni uko
Huwa inalimwa ukanda wa jangwani Mkuu maana ipo very dericated na unyevuHichi kilimo kwani inashindikana nini kukileta Tz.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bongo mazingira ya dodoma na singida vipi?Huwa inalimwa ukanda wa jangwani Mkuu maana ipo very dericated na unyevu
Ah ah Mkuu unataka kulima nnKwa bongo mazingira ya dodoma na singida vipi?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi hivyo..ingekua rahisi kila mtu angefanya.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolute right.Hivi kwanini waafrika tunapenda sana kukatishana tamaa?
Nilitegemea tu ungetumia lugha ya kumfanya mtu aone inawezekana akiamua kwa sababu wapo wanaofanya. Kigezo cha kusema ingekuwa rahisi angefanya kila mtu siyo sawa. Kwa sababu kila mtu ana malengo yake si lazima kila mtu alime Vanilla.
lugha za kukatishana tamaa si poa ktk harakati za maisha. Ninyi ndo mnawafanya watu wasijiamini
ulitakiwa umweleze changamoto zake aone kama anaweza kuzimudu au lah
kama huzifahamu ungekausha tu.. si lazima kucomment
Watu wanajibu hivyo kwa sababu wanajua kinachowangojea wanaoingia kichwa kichwa! Wewe una ufahamu wowote ni hicho kilimo? Ulishafanya au kuona mtu anafanya? Huyo alöiyejibu pengine ana-details za hayo mambo ndiyo maana akafikia hiyo conclusion.Hivi kwanini waafrika tunapenda sana kukatishana tamaa?
Nilitegemea tu ungetumia lugha ya kumfanya mtu aone inawezekana akiamua kwa sababu wapo wanaofanya. Kigezo cha kusema ingekuwa rahisi angefanya kila mtu siyo sawa. Kwa sababu kila mtu ana malengo yake si lazima kila mtu alime Vanilla.
lugha za kukatishana tamaa si poa ktk harakati za maisha. Ninyi ndo mnawafanya watu wasijiamini
ulitakiwa umweleze changamoto zake aone kama anaweza kuzimudu au lah
kama huzifahamu ungekausha tu.. si lazima kucomment
Yaani umenena Mimi nilisema Kama lini tukaitana kuchimba madini mitandaoniUkiona unaitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe
Kwa hapa Tanzania, "vanill b a" imekua ikilimwa kwa zaidi ya miaka kumi.Hichi kilimo kwani inashindikana nini kukileta Tz.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutaki kukisema hicho kitu nikusaidie ni kwamba watu wanapigwa kwa faida hewa. Jamaa wanakula mtaji wa mtu na shamba la kuzuga na pesa haitakaa itoke.Hivi kwanini hawa jamaa wasiende kuomba mkopo benki, kama issue ipo vizuri? Badala wanatafuta kwa watu binafsi? Hii inaonyesha , benki zisingekubali kutoa pesa kwa mradi kama huu... Au benki wanaona kitu ambacho mwananchi wa kawaida hawezi kuona.
Em ngoja kwanza...Kama hutaki kukisema hicho kitu nikusaidie ni kwamba watu wanapigwa kwa faida hewa. Jamaa wanakula mtaji wa mtu na shamba la kuzuga na pesa haitakaa itoke.
1. Kwanza wanadanganya bei ya vanilla sokoni.
2. Niliwaambia nina kilo 500 wakasema hawanunui lakin bado wanashawishi makolo wawape hela kwa kilimo kipya.
3. Kagera ina vanilla ya kutosha, mbichi sh 30000@kg. Kilo 5 unapata kavu 1.
lakin hakuna soko Hadi waganda wanalangua kienyeji. Je ,hawa wapigaji wana soko ahera?
Nina rafik yangu madagascar walimaji wa vanilla no 1 lakin nao wana tatizo lile lile la soko na ipo nyingi sana.
4. Njombe mkuu wa mkoa alishatoa angalizo sijui makolofasi wanasubiri ya kalynda!
5. Kama umewekeza kwa hawa jamaa jiandae kisaikolojia. Kwa uchunguzi binafs fuatilia soko bei ya soko dunian. Alafu jiulize hata uwape bei ya sh 400000@kg kavu hawakubari na hata hawatak kuskia.
Sema pesa za watu zinawasaidia kuweka mashamba ya kuzugia na kukopea.
Hakuna wa kukulimia wewe bila usimamizi wako binafs ili utusue wewe. Masuala ya kilimo cha hisa yanahitaji ufahamu wa kiudhibiti na uadilifu. Muache kamari.
Hakuna Bei ya M1 / kg 1, ni urongo mtupu.Em ngoja kwanza...
Kuna watu wanasema vanilla kilo moja ni million 1
Inakuaje mbona maelezo yanakinzana
Weeh kumbeee