Kama umeshafanya biashara katika world standard kuna kitu kinaitwa credit limit, maana ya kwamba kampuni inaweka ukomo wa wewe kupewa bidhaa kwa mkopo. Alicho sign jokate ni credit limit, maana ile kampuni inaweza tumia resources zake za ukomo wa 6 million dollar kuzalisha vifaa vya Jokate pasipo yeye kulipia hata shilingi.
Jambo hili sio la kubezwa hata kidogo, yeye as a small business kupata line of credit kama ile ni safi kwa cash flow. However, the devil lies in details