Ukweli kuhusu bilioni nane za Jokate

Ukweli kuhusu bilioni nane za Jokate

Hilo ndio jibu,Jokate hizo bilioni nane atazisikia kwenye bomba tena la gesi mtwara au la maji bagamoyo,atachopata ni wazungu wanaita dividend tu(Gawio la faida kulingana na makubaliano waliyofikia).


Nani kakwambia atazisikia kwenye bomba ujue huo ni initial capital ya investment na kama company itaendelea kukua na kutanuka across borders ndivyo outputs za kiwanda zinapanuka na share ya Jokate inaendelea kukua per unit produced so anaweza kushika more than termed amount as company grows.
 
Kama umeshafanya biashara katika world standard kuna kitu kinaitwa credit limit, maana ya kwamba kampuni inaweka ukomo wa wewe kupewa bidhaa kwa mkopo. Alicho sign jokate ni credit limit, maana ile kampuni inaweza tumia resources zake za ukomo wa 6 million dollar kuzalisha vifaa vya Jokate pasipo yeye kulipia hata shilingi.

Jambo hili sio la kubezwa hata kidogo, yeye as a small business kupata line of credit kama ile ni safi kwa cash flow. However, the devil lies in details
 
Itakuwa busara upate ukweli kutoka kwa joket mwenyewe. Na sio umbeya mitandaoni na kwenye vichwa vya habari vya magazeti ya udaku
 
Back
Top Bottom