chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Hilo ndio jibu,Jokate hizo bilioni nane atazisikia kwenye bomba tena la gesi mtwara au la maji bagamoyo,atachopata ni wazungu wanaita dividend tu(Gawio la faida kulingana na makubaliano waliyofikia).
Nani kakwambia atazisikia kwenye bomba ujue huo ni initial capital ya investment na kama company itaendelea kukua na kutanuka across borders ndivyo outputs za kiwanda zinapanuka na share ya Jokate inaendelea kukua per unit produced so anaweza kushika more than termed amount as company grows.