Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Kwanini test hufanyika siku ya jumapili saa tano asubuhi, Freedom square Mazimbu?

freedom square ni uwanja wa vita.. ratiba imebana kiasi kwamba wanafunzi wenyewe wanaomba kufanya mitihani jumapili mkuu.
 
Wale panya wa kutegua mabomu pale APOPO mnawatoa wapi na mafunzo hayo nani anagharamia ya kufundisha hao panyabuku?
ule mradi unadhaminiwa na watu wa denmark.. panya wanazalishwa na kufundishwa hapohapo na ruhusa kuona wanavyofundishwa... panya akifuzu mafunzo anauzwa kwa gharama kubwa kidogo na anaweza kuishi kwa miaka 3. nadhani umenielewa.
 
nadhaNi nishajibu tayariii kuhusiana na Human nutrition ... itakuwa vizuri kama utaeza pitia comment za hapo mwanzo
 
ugumu wa SUA unatokana na mtu mwenyew unavyojiweka na kujua wewe kichwa chako kikoje then unaamua ni jinsi gan usome na uishi kwa nionavyo mimi kwa sababu nasoma hapo pia.
 
  • Thanks
Reactions: m2j
Jamaan nipate adimission letter ya sua 2014/2015 jamaan msaada watu tunataka kuomba ruhusa vibaruani da naona muda unakwenda hivi
 
web yao haifunguk kw ss, km ushadownload itupie humu bac!
 
KARIBUNI SANA SUA VIJANA NA KARIBUNI PIA KWENYE VYAMA MBALIMBALI VYA SIASA CHADEMA,CCM NA ACT-TANZANIA...NDIVYO VYAMA VY
ENYE NGUVU!!!! Karibuni na mjisikie nyumbani
 
KARIBUNI SANA SUA VIJANA NA KARIBUNI PIA KWENYE VYAMA MBALIMBALI VYA SIASA CHADEMA,CCM NA ACT-TANZANIA...NDIVYO VYAMA VY
ENYE NGUVU!!!! Karibuni na mjisikie nyumbani

Siasa aziruhusiwi vyuon according to GN 178/2011
Inakuaje hapo mnaendekeza siasa
 
ukishasoma kozi ya informatics baadae unakua nani? na ajira zake zpo? na vip kuhusu mkopo unapata kweli?
 
dogo karibu xana utatukuta bhn wazee wa engineering nitafute nikupe full info 0766342937 Moody Tonix engineer of ze second order
 
Unaweza kuajiriwa kama computer programer au network desgner au kama IT technician pia unaweza kujiajiri km fundi computer.
 
Siasa aziruhusiwi vyuon according to GN 178/2011
Inakuaje hapo mnaendekeza siasa

ila kuwa ndani ya chama cha siasa ni ruksa ndo mana ofisi zetu hazipo ndani ya chuo na wala vikao havifanyiki ndani ya vyuo karibu ujijenge
kisiasa.
 
Wakuu naomben kuuliza nimejiunga na diploma hapo sua caurse niliyo chagua ni tropical animal healt vip kuhusu market yake ya ajiranimemaliza lita morogoro
 
Back
Top Bottom