Kinyozi wetu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 324
- 194
Kwanini test hufanyika siku ya jumapili saa tano asubuhi, Freedom square Mazimbu?
kozi nzuriiiii, me ndo naipga hyoo
ule mradi unadhaminiwa na watu wa denmark.. panya wanazalishwa na kufundishwa hapohapo na ruhusa kuona wanavyofundishwa... panya akifuzu mafunzo anauzwa kwa gharama kubwa kidogo na anaweza kuishi kwa miaka 3. nadhani umenielewa.Wale panya wa kutegua mabomu pale APOPO mnawatoa wapi na mafunzo hayo nani anagharamia ya kufundisha hao panyabuku?
aghaa.. we mnaa!!Jiheshimu we we! Hiyo nikuwapa changamoto tuu first year wajue chuo sio lele mama, ! Sijakukejeli tafadhaali
Jamaan nipate adimission letter ya sua 2014/2015 jamaan msaada watu tunataka kuomba ruhusa vibaruani da naona muda unakwenda hivi
Jamaan nipate adimission letter ya sua 2014/2015 jamaan msaada watu tunataka kuomba ruhusa vibaruani da naona muda unakwenda hivi
KARIBUNI SANA SUA VIJANA NA KARIBUNI PIA KWENYE VYAMA MBALIMBALI VYA SIASA CHADEMA,CCM NA ACT-TANZANIA...NDIVYO VYAMA VY
ENYE NGUVU!!!! Karibuni na mjisikie nyumbani
Siasa aziruhusiwi vyuon according to GN 178/2011
Inakuaje hapo mnaendekeza siasa