Ukweli kuhusu chuo ulichosoma.

Ukweli kuhusu chuo ulichosoma.

Kwa SUA hujakosea yani pale hata muda wa kupumzika hamna hafu matokeo yakitoka disco kibao hadi inaogopesha
 
Umesahau mount meru university, wakufunzi wanalazimisha tri.....
 
C. B. E sio kweli miaka yetu tuliopita pale enzi zile za advanced diploma hasa za accountancy wengi tuliingia na div. 1 na 2 za form 6 na ndio hao hao tuliotoboa hadi CPA. shida ni kwamba enzi zile vyuo vikuu vilikuwa vichache yaani hata mzumbe haikuwa chuo kikuu ilikuwa ni IDM.
 
Back
Top Bottom