Ukweli Kuhusu Deni la Taifa kwa awamu kuanzia ya Tatu.

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye.

-Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD.
-Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD
-Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD
_awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado tunaendelea.....

Milioni 7 USD katika miaka mitano, na maajabu yote yale. Na shangaa hawa wa milioni 3 USD ndani ya miezi saba, na matozo kibao, zifanya nini mbona mambo yako shaghalabaghala? Mungu hamfichi mnaaaaaaaafiki! Asante sana mkuu, mleta hoja.
 
Ukweli tuuweke wazi na bayana.
 
Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye.

-Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD.
-Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD
-Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD
_awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado tunaendelea.....

Hizo data umezitoa wapi?
Kwenye ripoti yako ni ya mwaka 2006 tu.
Kipindi kikwete anatoka madarakani aliacha deni la trillion 34.
Awamu ya tano ndo imekopa sana kuliko awamu zote
 
Back
Top Bottom