Milioni 7 USD katika miaka mitano, na maajabu yote yale. Na shangaa hawa wa milioni 3 USD ndani ya miezi saba, na matozo kibao, zifanya nini mbona mambo yako shaghalabaghala? Mungu hamfichi mnaaaaaaaafiki! Asante sana mkuu, mleta hoja.
Hizo data umezitoa wapi?Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye.
-Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD.
-Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD
-Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD
_awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado tunaendelea.....