Ukweli Kuhusu Dragons


Asante sana mkuu kwa kushare nasi elimu hii, kwa sehemu kubwa umenyoosha vizuri ila naomba uweke sawa kipande kile cha “mabaki ya mifupa kuhifadhiwa Berlin”.

Ninavyofahamu mimi yale ni mabaki ya Dinosaur [mjusi mkubwa], sina nijuacho zaidi hata kuhusu alipatikana wapi... hebu nitoe shaka au rekebisha kumbukumbu zako kama yule ni Dragon au ni Dinosaur.?
 
plan z
Heshima yako mkuu, nimefurahi sana kupitia shule kwenye bandiko lako.... dragons.

Umekataa kuhusianisha nyoka wa bustanini na dragons, hujatoa sababu zako.

Nikapitia maandiko katika kitabu cha UFUNUO 12:9, kwa Kiswahili anatajwa kama ‘nyoka mkubwa’ kwa kunasibishwa na ibilisi shetani.

Katika kitabu hicho hicho, version ya Kingereza inamtaja kabisa kama DRAGON... hebu jiridhishe au nirekebishe pasi na shaka.
 
Hiki kiumbe asili yake ni kwenye mythologies kama viumbe vingine kwenye mythologies mfano kwenye hellenic mythologies tunamuona sphinx, kwenye kwenye egyptian mythologies tunamuona typhon, na phoenix,viumbe hivi vinawakilisha some aspect of reality na si viumbe halisi,soma mythologies kwa kina ndio utaelewa vizuri.Serpent au joka kwenye bible anawakilisha evil personality au evil being na si nyoka kama hawa tunaowajua kwamba ndio alimdanganya eva, ukiichukulia mifano ya biblia kwa ufikiri hafifu unakuwa umeingia chaka
 
Vipi kwa huyo Lewiathani mkuu
 
Aliyeanzisha uzi alitumia neno dragon ila kwenye picha akawa ameonyesha dinosaur, kwa hiyo na mimi nikawa naendelea kutoa hoja kwa kufuata mlolongo huo wa mawazo ya muanzisha mada. Mujusi huyo alipatikana Tendaguru, Tanzania.
 
Yule ni Dinosaur. Dragon sina uhakika sana kama kuna mabaki ya Dragons.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah ni kweli dragons ukristo unamtaja kama kiwakilishi cha shetani. Lakini kwa sababu hatujawakuta. Hatuna uhakika kama shetani na malaika zake walioasi kule mbinguni pamoja naye walivyotupwa duniani waliushi kama dragons. Ila binadamu wakati tunaumbwa wao hatukuwakuta duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimejichanganya kama sio kupotea njia wacha nirudi intelligency kwa kina the bold sio huu unzwanzwa
 
Jamaa una mkwara wewe nimecheka hapo ulipo sema

Dragon waliumbwa kabla ya sisi kuja duniani ila wewe unayo Siri kubwa kuhusu dragon nimecheka Sana ha ha ha ha

Ukiwa muongo usiwe msahaurifu
 
Jamaa una mkwara wewe nimecheka hapo ulipo sema

Dragon waliumbwa kabla ya sisi kuja duniani ila wewe unayo Siri kubwa kuhusu dragon nimecheka Sana ha ha ha ha

Ukiwa muongo usiwe msahaurifu
Sijasahau mkuu
 
Kuna siri nyingine, tofauti na hiyo, hiyo kwanza sio siri
Jamaa una mkwara wewe nimecheka hapo ulipo sema

Dragon waliumbwa kabla ya sisi kuja duniani ila wewe unayo Siri kubwa kuhusu dragon nimecheka Sana ha ha ha ha

Ukiwa muongo usiwe msahaurifu
 
Mkuu ulipata kusoma habari za Lewiathani (Leviathan)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…