Tukiongelea dragon's kiujumla tunapata picha ya joka kubwa lenye nguvu miguu mabawa na uwezo wa kutema moto,katika field ya mambo yangu nilipata nafasi ya kugundua baadhi ya vitu kuhusu huyu kiumbe wapo hadi leo hii lakini hawapo wazi kiasi kwamba unaweza dhurula misituni na kumkuta,pia kwa baadhi ya imani niligundua kuna watu wanajua njia za haya majoka ambazo ni underground hasa kwenye milima mikubwa sijui wanasurvive vipi huko sijafatilia sana ila nilipata kuelezwa kuwa watu wanaojua au wanaoelekezwa kwenda kutega dhana mfano wa jambia ili akipita joka dragon aache magamba ambayo humfanya mtu kuwa tajiri(kiimani zaidi). Pia niliskia story kuhusu watu wa asia kutumia mfupa(mifupa) ya dragons katika kutenganisha maji mwenye mfupa wa kiumbe huyu anapoutumia kwa kuchapa kwenye maji hutawanyika na wao hufanya wanayotaka(Pia inanifanya nifikilie fimbo ya kijana mmoja niliyekutana nae maeneo ya milimani nilipoenda field ina uwezo wa kugawanyisha maji pindi anapochapa sehemu yenye maji anaiita fimbo ya ufalme aliyokabidhiwa), hii ilifanya pia niwaze je hii fimbo imechanganywa na huo mfupa wa dragon au ni nguvu tu za ulimwengu. Hayo ndio machache yaliyo kwenye ufahamu wangu juu ya dragon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stori za vijiwe vya kahawa