Ukweli Kuhusu Dragons

Ukweli Kuhusu Dragons

Tukiongelea dragon's kiujumla tunapata picha ya joka kubwa lenye nguvu miguu mabawa na uwezo wa kutema moto,katika field ya mambo yangu nilipata nafasi ya kugundua baadhi ya vitu kuhusu huyu kiumbe wapo hadi leo hii lakini hawapo wazi kiasi kwamba unaweza dhurula misituni na kumkuta,pia kwa baadhi ya imani niligundua kuna watu wanajua njia za haya majoka ambazo ni underground hasa kwenye milima mikubwa sijui wanasurvive vipi huko sijafatilia sana ila nilipata kuelezwa kuwa watu wanaojua au wanaoelekezwa kwenda kutega dhana mfano wa jambia ili akipita joka dragon aache magamba ambayo humfanya mtu kuwa tajiri(kiimani zaidi). Pia niliskia story kuhusu watu wa asia kutumia mfupa(mifupa) ya dragons katika kutenganisha maji mwenye mfupa wa kiumbe huyu anapoutumia kwa kuchapa kwenye maji hutawanyika na wao hufanya wanayotaka(Pia inanifanya nifikilie fimbo ya kijana mmoja niliyekutana nae maeneo ya milimani nilipoenda field ina uwezo wa kugawanyisha maji pindi anapochapa sehemu yenye maji anaiita fimbo ya ufalme aliyokabidhiwa), hii ilifanya pia niwaze je hii fimbo imechanganywa na huo mfupa wa dragon au ni nguvu tu za ulimwengu. Hayo ndio machache yaliyo kwenye ufahamu wangu juu ya dragon.

Sent using Jamii Forums mobile app

Stori za vijiwe vya kahawa
 
Mambo binafsi ya group fulani,waliihitaji msaada wangu ili kufanikisha shughuli zao . Inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app

Group la wajinga ...wewe akili hauna afu kuna watu wanakutegemea😁😁 dunia simama nichimbe dawa

Umeandika txt ndefu hapo juu ni utopolo mtupu...stori za vijiwe vyenu huko huko huku hatutaki
 
Mkuu, plan z: kuhusu binadamu kumjua dragon japo hajamkuta, si Jambo la kushangaza, maandiko yanasema wazi kabisa kuwa ukimcha mungu sana atakuonyesha hazina zilizoko gizani. Biblia zingine zinasema zilizoko sirini. Kwahiyo siyo ajabu kumfahamu huyo dragon. Maana mungu mwenyewe anatuonyesha yaliyo sirini/gizani.

Na ndiyo hapa kutoka kwenye andiko hili, huwa naamini kuwa Kuna Mercury ya Asili kwenye mapango ambayo Yana joka, na mapango hayaonekani kwa macho haya ya nyama.

Pia Kuna joka mwenye vichwa 12, haya yote yako gizani/sirini maana Muumba mwenyewe kasha sema kupitia mandiko mtakatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dragon ni hazina ya nan sasa 😁 tutolee upuuzi bro
 
Yah ni kweli dragons ukristo unamtaja kama kiwakilishi cha shetani. Lakini kwa sababu hatujawakuta. Hatuna uhakika kama shetani na malaika zake walioasi kule mbinguni pamoja naye walivyotupwa duniani waliushi kama dragons. Ila binadamu wakati tunaumbwa wao hatukuwakuta duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakristo gani😁 we unaota mkuu
 
Back
Top Bottom