Ukweli kuhusu gonjwa la UKIMWI

Ukweli kuhusu gonjwa la UKIMWI

F.c.mwanzi

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
65
Reaction score
17
habarini wana JF.ni kwa muda sasa huwa huwa nafatilia ni nini hasa chanzo cha gonjwa hili la ukimwi ambalo halikuwepo miaka kama 1960 na,iliyo pita na kwa nini limekaa sehemu ya pili kwa utamu ukitoa asali na nini tiba yake ???. Watu wengi duniana hasa wachunguzi wa mabo husema haya
1.eti chanzo cha ugonjwa ni pale walipo fanya majaribio kumfanya binadamu alale na nyani ili hafahamu nini kitatokea,Je kama ni hivi walipo gundua huyo binadamu amepata kirusi/gonjwa ambalo halina tiba kwa nini wasinge muua ili asifanye maambukizi kwa wngne????
2.A; Eti serekali ya marekani ilikusanya madaktri bingwa duniani ambao kazi yao ilikuwa ni kutengeneza kirusi ambacho walikipandikiza kwa binadamu kwa lengo la kuwauwa adui za marekani,nami nikajiuliza kama hii ni kweli lazima kinga ipo, na lengo watakuwa wamisha fanikisha sasa kwa nini wasiuze kwa w2 hata kwa bei ya mabilioni ya shs kuliko wa2 kufa hovyo ???
B; eti kirusi kilitengenezwa kwa lengo la wakumaliza wafrika ( kupunguza population) ili wapate rasilimali zetu yaani wa2mie indirect way sio kama zile za enzi za ukoloni,hii nayo inanitia shaka kama ndivyo mbona na wenyewe takwimu zinasema wapo wanao kufa kwa ngoma kwa hyo wanafurahia w2 wao pia kufa au ?????
3. Eti ukimwi ni pigo toka juu ( yani kwa Mwenyezi Mungu) sasa hapa huwa naduwaa mpaka basi,najiuliza kweli huyu mungu anayesema anatupenda kwa nini anatufanyia hivi yani inafikia hatua kila mtu anahisi ana ukimwi??,wengine wakasema hili gonjwa kama yalivyo mengine unaweza ombewa na mchungaji na ukapona kabisa kama yalivyo magonjwa mengine 'hapa sasa ndipo kuna kasheshe' ukiuliza ni yupi aliombewa akapona hupati mtu???.sasa ukweli ni upi??????????
 
KINGA YA GONJWA
wanasema ili kujiepusha na kupata ukimwi inakubidi kutumia kinga ambayo ni '' kondomu'' ukweli wa watu kuhusu kondomu
1.wanasema kondomu ni elastic na ktk sayansi wanasema k2 chochote ambacho ni elastic huwa kina vijitundu vidogo vidogo sasa kama huu ni ukweli ni dhahiri kuwa kondomu haizuu vijidudu vya ukimwi kupenyeza au ???
2.kuna kipindi kontena moja la kondomu pale bandarini liligundulika kuwa limebeba kondomu ambazo tayari zimepandikizwa virusi,nilipo sikia hili ilinibidi nikubaliane na hoja kuwa ukimwi ni kwa ajiri ya kuwauwa wafrika??? Sasa ni nini ukweli juu ya gonjwa hili??????
 
magonjwa mengi ya siku hizi asa ya virus yanatengenezwa mahabara ili kampun za dawa zifanye biashara.
wazungu ni mashetani.
 
Wazungu wanataka waafrika wote waambukizwe ukimwi ili wadhoofike waache kuzaana sana Ndio Maana wanasamnaza Dawa za kupunguza makali na kuongeza siku za kuishi ili wenye virus wazidi kuvisambaza zaidi ufike mahara waafrika wote wabukizwe ukimwi kisha wakoloni waludi kuja kuitawala tena Afrika
 
Ukoloni ni janga kwani wazungu wengi wangependa kuona waafrika waanapuputike haraka kisha Waludi kulitawala tena
 
Ukimyi kitu gani bana....
Unajua Ebora au Uti wa mgongo?
 
sasa ukweli wako ni upi?
zote umeandika kama hypothesis
 
Wewe sasa.....mmmmh........hivi unajua kuna jini la ukimwi.......?

Preta, eti jini la nini? Haisee hii kweli kali, kama ni kweli sasa tunajihepushaje na huyo jini jamani? Unaniogopesha dada yangu kwani naona hautaki nisalimiane na potential mawifi zako mtaani.
 
Last edited by a moderator:
Wazungu wanataka waafrika wote waambukizwe ukimwi ili wadhoofike waache kuzaana sana Ndio Maana wanasamnaza Dawa za kupunguza makali na kuongeza siku za kuishi ili wenye virus wazidi kuvisambaza zaidi ufike mahara waafrika wote wabukizwe ukimwi kisha wakoloni waludi kuja kuitawala tena Afrika

Wala hawahitaji UKIMWI kututawala, rushwa tu na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
na takwimu zinaonyesha kuwa katika karne ya 17, 1/5 ya binadamu wote duniani walikuwa nia wafrika na wote walikuwa wanaishi afrika.Kwa sasa wafrika duniani kote ni 1/15 ya watu wote duniani,kwa hili utagundua hawa majamaa nia yao ni kutuangamiza kama walivyo fanya kwa wahindi wekundu
 
magonjwa mengi ya siku hizi asa ya virus yanatengenezwa mahabara ili kampun za dawa zifanye biashara.
wazungu ni mashetani.

Uzuri wa JF uko open kwa kila mtu ,hata kama wewe una akiri finyu.Mzungu hakulazimishi wewe uwe una vimada wengi,licha ya mke wako.
Fika bungeni Dodoma uone waheshimiwa wako wanavyofanya licha ya kuwa wameoa
 
Ukoloni ni janga kwani wazungu wengi wangependa kuona waafrika waanapuputike haraka kisha Waludi kulitawala tena

Fanya mapenzi bila condom,nje ya ndoa au uwe na partners wengi kwa sababu ya vihela vyako.walaumu wazungu halafu
 
na takwimu zinaonyesha kuwa katika karne ya 17, 1/5 ya binadamu wote duniani walikuwa nia wafrika na wote walikuwa wanaishi afrika.Kwa sasa wafrika duniani kote ni 1/15 ya watu wote duniani,kwa hili utagundua hawa majamaa nia yao ni kutuangamiza kama walivyo fanya kwa wahindi wekundu

sijaona mzungu anakuvulisha nguo ,halafu anakutafutia partner mwenye ukimwi,na kukulenga bastola kama usipofanya mchezo atakuua.
Kama tabia zako za uasherati hutaacha ,usimlaumu mzungu
 
habarini wana JF.ni kwa muda sasa huwa huwa nafatilia ni nini hasa chanzo cha gonjwa hili la ukimwi ambalo halikuwepo miaka kama 1960 na,iliyo pita na kwa nini limekaa sehemu ya pili kwa utamu ukitoa asali na nini tiba yake ???. Watu wengi duniana hasa wachunguzi wa mabo husema haya
1.eti chanzo cha ugonjwa ni pale walipo fanya majaribio kumfanya binadamu alale na nyani ili hafahamu nini kitatokea,Je kama ni hivi walipo gundua huyo binadamu amepata kirusi/gonjwa ambalo halina tiba kwa nini wasinge muua ili asifanye maambukizi kwa wngne????
2.A; Eti serekali ya marekani ilikusanya madaktri bingwa duniani ambao kazi yao ilikuwa ni kutengeneza kirusi ambacho walikipandikiza kwa binadamu kwa lengo la kuwauwa adui za marekani,nami nikajiuliza kama hii ni kweli lazima kinga ipo, na lengo watakuwa wamisha fanikisha sasa kwa nini wasiuze kwa w2 hata kwa bei ya mabilioni ya shs kuliko wa2 kufa hovyo ???
B; eti kirusi kilitengenezwa kwa lengo la wakumaliza wafrika ( kupunguza population) ili wapate rasilimali zetu yaani wa2mie indirect way sio kama zile za enzi za ukoloni,hii nayo inanitia shaka kama ndivyo mbona na wenyewe takwimu zinasema wapo wanao kufa kwa ngoma kwa hyo wanafurahia w2 wao pia kufa au ?????
3. Eti ukimwi ni pigo toka juu ( yani kwa Mwenyezi Mungu) sasa hapa huwa naduwaa mpaka basi,najiuliza kweli huyu mungu anayesema anatupenda kwa nini anatufanyia hivi yani inafikia hatua kila mtu anahisi ana ukimwi??,wengine wakasema hili gonjwa kama yalivyo mengine unaweza ombewa na mchungaji na ukapona kabisa kama yalivyo magonjwa mengine 'hapa sasa ndipo kuna kasheshe' ukiuliza ni yupi aliombewa akapona hupati mtu???.sasa ukweli ni upi??????????

Umeuliza swali zuri sana naomba nikupe jibu la uhakika amini usiamini kubali usikubali ni juu yako.Ukimwi ni adhabu ndogo sana iliyotolewa na Mwenyezi Mungu kwa wazinzi na kupona kwake ni kufanya toba ya kweli(kujuta na kuachana kabisa na hiyo dhambi utapona) mimi ninawafahamu waliopona!Usiumize kichwa hili ndilo jibu!
 
Kwahiyo ukimwi una sumaku kwamba wewe hauwezi kuuheshimu mwili wako mpaka ukavue chupi zako eti kisa walitengeneza wazungu,utawaachia wanao na nduguzo umasikini ...acheni uasherati.
 
jirambeeee uambukizwe ukimwi halafu wasingizie wazungu. acha umbulula
 
Umeuliza swali zuri sana naomba nikupe jibu la uhakika amini usiamini kubali usikubali ni juu yako.Ukimwi ni adhabu ndogo sana iliyotolewa na Mwenyezi Mungu kwa wazinzi na kupona kwake ni kufanya toba ya kweli(kujuta na kuachana kabisa na hiyo dhambi utapona) mimi ninawafahamu waliopona!Usiumize kichwa hili ndilo jibu!
Mtaje hata mmoja kwa jina.
 
Back
Top Bottom