F.c.mwanzi
Member
- Apr 1, 2013
- 65
- 17
habarini wana JF.ni kwa muda sasa huwa huwa nafatilia ni nini hasa chanzo cha gonjwa hili la ukimwi ambalo halikuwepo miaka kama 1960 na,iliyo pita na kwa nini limekaa sehemu ya pili kwa utamu ukitoa asali na nini tiba yake ???. Watu wengi duniana hasa wachunguzi wa mabo husema haya
1.eti chanzo cha ugonjwa ni pale walipo fanya majaribio kumfanya binadamu alale na nyani ili hafahamu nini kitatokea,Je kama ni hivi walipo gundua huyo binadamu amepata kirusi/gonjwa ambalo halina tiba kwa nini wasinge muua ili asifanye maambukizi kwa wngne????
2.A; Eti serekali ya marekani ilikusanya madaktri bingwa duniani ambao kazi yao ilikuwa ni kutengeneza kirusi ambacho walikipandikiza kwa binadamu kwa lengo la kuwauwa adui za marekani,nami nikajiuliza kama hii ni kweli lazima kinga ipo, na lengo watakuwa wamisha fanikisha sasa kwa nini wasiuze kwa w2 hata kwa bei ya mabilioni ya shs kuliko wa2 kufa hovyo ???
B; eti kirusi kilitengenezwa kwa lengo la wakumaliza wafrika ( kupunguza population) ili wapate rasilimali zetu yaani wa2mie indirect way sio kama zile za enzi za ukoloni,hii nayo inanitia shaka kama ndivyo mbona na wenyewe takwimu zinasema wapo wanao kufa kwa ngoma kwa hyo wanafurahia w2 wao pia kufa au ?????
3. Eti ukimwi ni pigo toka juu ( yani kwa Mwenyezi Mungu) sasa hapa huwa naduwaa mpaka basi,najiuliza kweli huyu mungu anayesema anatupenda kwa nini anatufanyia hivi yani inafikia hatua kila mtu anahisi ana ukimwi??,wengine wakasema hili gonjwa kama yalivyo mengine unaweza ombewa na mchungaji na ukapona kabisa kama yalivyo magonjwa mengine 'hapa sasa ndipo kuna kasheshe' ukiuliza ni yupi aliombewa akapona hupati mtu???.sasa ukweli ni upi??????????