Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Upinzani kwenye hii nchi ni bomu sanaaa.. huwa wanakomaa sana na hoja dhaifu sanaMie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Huyo sio mpinzan..waheshimu wapinzani mkuu...Upinzani kwenye hii nchi ni bomu sanaaa.. huwa wanakomaa sana na hoja dhaifu sana
Nawaheshimu sana mkuu.. ila kuna wengine wanazingua sanaHuyo sio mpinzan..waheshimu wapinzani mkuu...
Muongo muongo sana huyo babaWaziri mkuu awe makini sana na vyanzo vyake vya habari, nilishangaa sana alipopeleka takwimu za Ally Kamwe bungeni.
Nafikiri kuacha habari ambazo vyanzo vyake haviaminiki sio vyema. Unaweza ukaona hata Gazeti la Mwananchi limenukuu kauli ya Waziri Mkuu. Kwa hiyo ilikuwa na fact checking, wala hakuna mashindanoMie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Uko sahihi. kwa hoja zako. Tujifunze kutoa data zinazothibitika ndugu PslmpMtu aliyekuwa akifuatiliwa hotuba zake na viongozi wote duniani, hasa hasa mwanzoni kabisa mwa gonjwa Tata la Corona, Dunia nzima ilianza kufuatilia hotuba zake, hiyo ilimpaisha na kujulikana Kwa Kasi duniani kote!!
Halafu mtu aone ajabu Kwa tukio hili la kuagwa kwake kufuatiliwa na takribani ya nusu ya watu wote duniani???
Kwa jinsi alivyompaisha mpinzani wake Mh Lissu Kwa kumsema vibaya Jembe bila hata ya chembe ya ushahidi wa matukio alokuwa akimshitaki kwenye midia zote kubwa za duniani, lipi la ajabu Kwa Dunia kufuatilia tukio lake hili la kutoweka Duniani
Kwa jinsi alivyopingana na shirika kubwa kabisa duniani, WHO kuhusu Chanjo ya Corona na namna ya kudili na maambukizi yake,
Namna alivyowashughurikia Kampuni kubwa kubwa za kibeberu kuhusu mikataba ya madini na usafirishaji wa mchanga wa madini, eti asiwe kivutio Kwa Dunia???
Msiwe wajinga basi wajameni!!
Kwa kweli, mambo ya takwimu yanahitaji umakini mkubwa sana.Waziri mkuu awe makini sana na vyanzo vyake vya habari, nilishangaa sana alipopeleka takwimu za Ally Kamwe bungeni.
Una hoja nzuri. Lakini uko nje ya uzi....Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.
Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!
Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
πππ Wewe!Apo bado wame mpunja au kwavile hawezi kuongea muda huu!?
Kwenye project alizo fanya hamjaweka uwanja wa ndege chato au mnataka kuuza huo uwanja jamani jamani au mnafikiri hatuijui kwa upo!?
R.I.P Jembe na Raisi wa Karne hii!!Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.
Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!
Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
Taifa la uongo uongo.Tushaingizwa chaka tena ! hii nchi bila shaka ni kichwa cha mwendawazimu