Mtu aliyekuwa akifuatiliwa hotuba zake na viongozi wote duniani, hasa hasa mwanzoni kabisa mwa gonjwa Tata la Corona, Dunia nzima ilianza kufuatilia hotuba zake, hiyo ilimpaisha na kujulikana Kwa Kasi duniani kote!!
Halafu mtu aone ajabu Kwa tukio hili la kuagwa kwake kufuatiliwa na takribani ya nusu ya watu wote duniani???
Kwa jinsi alivyompaisha mpinzani wake Mh Lissu Kwa kumsema vibaya Jembe bila hata ya chembe ya ushahidi wa matukio alokuwa akimshitaki kwenye midia zote kubwa za duniani, lipi la ajabu Kwa Dunia kufuatilia tukio lake hili la kutoweka Duniani
Kwa jinsi alivyopingana na shirika kubwa kabisa duniani, WHO kuhusu Chanjo ya Corona na namna ya kudili na maambukizi yake,
Namna alivyowashughurikia Kampuni kubwa kubwa za kibeberu kuhusu mikataba ya madini na usafirishaji wa mchanga wa madini, eti asiwe kivutio Kwa Dunia???
Msiwe wajinga basi wajameni!!