Kwa kipi kizuri ulicho leta hapa mkuuKama kusema fact ni kufura na iwe hivyo. Siwezi kuacha conclusion za kijinga unazotoa hapa zipoteshe wenye akili ndogo.
Unajipaisha badala ya kupaishwa?
Huna tofauti na wajinga wachache waliopo ufipa
Kwa kipi kizuri ulicho leta hapa mkuuKama kusema fact ni kufura na iwe hivyo. Siwezi kuacha conclusion za kijinga unazotoa hapa zipoteshe wenye akili ndogo.
Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa
Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa
https://twitter.com/SirNeoBranson
View attachment 1732575
Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu alishatiliwa shaka na wakenya baada ya kubahatika kufanya mahojiano na kituo cha televisheni cha CitizenTV kuhusu kupotea kwa ndege ya Malaysia. Mkasa mzima upo hapa
Kenyan Sir Neo Roggi Joseph Roger Branson -- World's Leading cryptologist - Page 3 - Life - Wazua - Forum
na video ya Youtube ya mahojiano hayo inapatikana hapa:
Na hapa alizidi kutiliwa shaka, si ajabu twitter zake zina followers wasiozidi 1,000.
Kupitia link hii unaweza kuona walivyo mu-expose (mwaka 2014):
Exposed! See how this man has been cheating Citizen TV like SMALL BABIES.
Thursday, June 12, 2014–Just saw some Citizen TV interviews with a certain IT expert who calls himself Sir Neo Roggi Joseph Rogern Branson. No kidding, that is his real name and the shit things that come out his mouth are just as ridiculous as his name if not more.
Sir Neo claims to be a G8+ endorsed cryptographer under the Global Intelligence, Surveillance and Tactical (GIST). He also apparently has his own company, Ultimate Global Technology Authorite, which does not exist on Google search or any other kind of search (in fact it seems the only place this so called company of his exists is in his mind) which already puts doubts on his story and his expertise.
What is more disturbing is how someone whose credentials are mythical could have got so much media coverage. He has appeared on Citizen TV severally, the East and Central African Business Mirror and has also apparently been covered by the Washington Post (a story which cannot be found).
View attachment 1732544
Huyu jamaa anaonekana ni mjanja sana, na mhuni wa kupindukia. He is very smart by the way. Anwani yake ya twitter iko vizuri sana kudanganya watu wengi.
Kwa hiyo ni kazi kwetu kuamini chanzo hicho. Je mkenya mwingine amepotosha serikali kama ilivyokuwa kwenye korosho?
Chumba chake cha habari
View attachment 1732546
Jamaa mwenyewe anayejiita Sir Neo Branson
View attachment 1732548
Chanzo:
Kwa msaada wa Twitter.Com na Google.Com
Huyo jamaa kawa muongo muongoWaziri mkuu awe makini sana na vyanzo vyake vya habari, nilishangaa sana alipopeleka takwimu za Ally Kamwe bungeni.
Pm ni kiongozi mkubwa sana, ni ajabu kuokota vijihabari vya hovyo kwa watu wa dizaini hiyo!!, Lazima awe makini na anachokisema mbele ya watu. 5+Billon asee 😀Upinzani kwenye hii nchi ni bomu sanaaa.. huwa wanakomaa sana na hoja dhaifu sana
Wewe mwenyewe unabishana mpaka misuli inakutoka, ukiambuwa useme wewe waliofuatilia utasema???Watu bil.4??
Kawadanganyeni wehu wenzenu.
Alisema JPM anachapa kazi.. ? Kwa hilo tosha kushusha credit za kuaminikaPm ni kiongozi mkubwa sana, ni ajabu kuokota vijihabari vya hovyo kwa watu wa dizaini hiyo!!, Lazima awe makini na anachokisema mbele ya watu. 5+Billon asee 😀
Gone are the days when you say ''wajinga wa Ufipa'' you get appointed to be a DC or a minister! Gone are the days when appointments were made basing on ''who is more aggresive'' to opposition. Gone is the killer who enjoy killing innocent people!Kwa kipi kizuri ulicho leta hapa mkuu
Unajipaisha badala ya kupaishwa?
Huna tofauti na wajinga wachache waliopo ufipa
CCM ni wazee wa fix balaa, kwanza kitendo cha kificha kwamba Mh. Rais Alikuwa anauwa ni cha aibu!! Ila mshipa wa aibu ushakatikaga....sasa badala ya kutujibu kwa nini hawakumuwahisha kwenye matibabu ya maana nje ya nchi mapema tu baada ya dalili za kifua kuanza kusumbua wao wana promote chama chao kupitia msiba.Taifa la uongo uongo.
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Watu Bilion 3.4, hawana kazi mpaka wasikilize au waangalie Livestream inayoendeshwa kwa Kiswahili??Taifa la uongo uongo.
Hu kupimwa mkojo eee😀😀😀 Wewe!
Bilioni 3 parefu sana jombaa.Mtu aliyekuwa akifuatiliwa hotuba zake na viongozi wote duniani, hasa hasa mwanzoni kabisa mwa gonjwa Tata la Corona, Dunia nzima ilianza kufuatilia hotuba zake, hiyo ilimpaisha na kujulikana Kwa Kasi duniani kote!!
Halafu mtu aone ajabu Kwa tukio hili la kuagwa kwake kufuatiliwa na takribani ya nusu ya watu wote duniani???
Kwa jinsi alivyompaisha mpinzani wake Mh Lissu Kwa kumsema vibaya Jembe bila hata ya chembe ya ushahidi wa matukio alokuwa akimshitaki kwenye midia zote kubwa za duniani, lipi la ajabu Kwa Dunia kufuatilia tukio lake hili la kutoweka Duniani
Kwa jinsi alivyopingana na shirika kubwa kabisa duniani, WHO kuhusu Chanjo ya Corona na namna ya kudili na maambukizi yake,
Namna alivyowashughurikia Kampuni kubwa kubwa za kibeberu kuhusu mikataba ya madini na usafirishaji wa mchanga wa madini, eti asiwe kivutio Kwa Dunia???
Msiwe wajinga basi wajameni!!
Hahaha!!Gone are the days when you say ''wajinga wa Ufipa'' you get appointed to be a DC or a minister! Gone are the days when appointments were made basing on ''who is more aggresive'' to opposition. Gone is the killer who enjoy killing innocent people!
Kwa taarifa yako mwa muda huu wamefika watu 6. 8B wanao fuatiliaPelekeni huo mzoga WA ibilisi wenu huko chato , tutoleeni harufu ya uozo hapa
Jomba, ni kawaida tu jombaBilioni 3 parefu sana jombaa.
Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa
Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa
https://twitter.com/SirNeoBranson
View attachment 1732575
Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu alishatiliwa shaka na wakenya baada ya kubahatika kufanya mahojiano na kituo cha televisheni cha CitizenTV kuhusu kupotea kwa ndege ya Malaysia. Mkasa mzima upo hapa
Kenyan Sir Neo Roggi Joseph Roger Branson -- World's Leading cryptologist - Page 3 - Life - Wazua - Forum
na video ya Youtube ya mahojiano hayo inapatikana hapa:
Na hapa alizidi kutiliwa shaka, si ajabu twitter zake zina followers wasiozidi 1,000.
Kupitia link hii unaweza kuona walivyo mu-expose (mwaka 2014):
Exposed! See how this man has been cheating Citizen TV like SMALL BABIES.
Thursday, June 12, 2014–Just saw some Citizen TV interviews with a certain IT expert who calls himself Sir Neo Roggi Joseph Rogern Branson. No kidding, that is his real name and the shit things that come out his mouth are just as ridiculous as his name if not more.
Sir Neo claims to be a G8+ endorsed cryptographer under the Global Intelligence, Surveillance and Tactical (GIST). He also apparently has his own company, Ultimate Global Technology Authorite, which does not exist on Google search or any other kind of search (in fact it seems the only place this so called company of his exists is in his mind) which already puts doubts on his story and his expertise.
What is more disturbing is how someone whose credentials are mythical could have got so much media coverage. He has appeared on Citizen TV severally, the East and Central African Business Mirror and has also apparently been covered by the Washington Post (a story which cannot be found).
View attachment 1732544
Huyu jamaa anaonekana ni mjanja sana, na mhuni wa kupindukia. He is very smart by the way. Anwani yake ya twitter iko vizuri sana kudanganya watu wengi.
Kwa hiyo ni kazi kwetu kuamini chanzo hicho. Je mkenya mwingine amepotosha serikali kama ilivyokuwa kwenye korosho?
Chumba chake cha habari
View attachment 1732546
Jamaa mwenyewe anayejiita Sir Neo Branson
View attachment 1732548
Chanzo:
Kwa msaada wa Twitter.Com na Google.Com
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Wewe uko upande wa shetani??Pelekeni huo mzoga WA ibilisi wenu huko chato , tutoleeni harufu ya uozo hapa
Huyo sio mpinzan..waheshimu wapinzani mkuu...
Bilioni 3 ni watu wengi sana jamani.Tushaingizwa chaka tena ! hii nchi bila shaka ni kichwa cha mwendawazimu
Kuhusu nn?Wana nini?!