R.I.P Jembe,Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Nakupenda Tanzania, nitajitolea Daima kukulinda na hata kufa itakapobidiWito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
Maja ni mzigo.Yaani Jiwe yuko taabani,Yeye anatuambia tusiwe na wasiwasi anapiga kazi!Waziri mkuu awe makini sana na vyanzo vyake vya habari, nilishangaa sana alipopeleka takwimu za Ally Kamwe bungeni.
Kuna kigenge cha kihuni na wezi, eti kiliamini hivyo mkuu!!Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Waziri mkuu ametuangusha sana. Anafanya Tanzania ionekane ina viongozi vilaza. Hiyo idadi ni nusu ya population ya dunia. Uongo na ujinga uliopitiliza tena usio na faida.Tunaangalia kwasababu tupo interested sana na mama hasa katika siku zake hizi za mwanzo, 100 za kwanza.
Kukimbilia kwenda kuona maiti ni mapenzi? Acheni upumbavu wenu. Kuna majambazi kibao yameua na watu wakagombania kwenda kuyaona. Nikipata muda nitawapa somo la saikolojia kuhusu hali ya watu kukimbilia kuona maiti au kurushiana picha za wafu ili muelewe vizuri.Kuna kigenge cha kihuni na wezi, eti kiliamini hivyo mkuu!!
Tulishakidharau, na hakina madhara, ulaya nako kikapuuzwa
CCM wataikomalia hii kitu utafikiri ni ya kweli. No wonder wanamzungusha Mama na familia yake kila kona kwa kisingizio cha kumuaga Hayati JPM. Mafisi hayana huruma aisee!!Tushaingizwa chaka tena ! hii nchi bila shaka ni kichwa cha mwendawazimu
Mbona umefura?Kukimbilia kwenda kuona maiti ni mapenzi? Acheni upumbavu wenu. Kuna majambazi kibao yameua na watu wakagombania kwenda kuyaona. Nikipata muda nitawapa somo la saikolojia kuhusu hali ya watu kukimbilia kuona maiti au kurushiana picha za wafu ili muelewe vizuri.
Wewe ni Kati ya Watanzania ambao hawakubahatika kulelewa na wazazi wote wawili!!Kukimbilia kwenda kuona maiti ni mapenzi? Acheni upumbavu wenu. Kuna majambazi kibao yameua na watu wakagombania kwenda kuyaona. Nikipata muda nitawapa somo la saikolojia kuhusu hali ya watu kukimbilia kuona maiti au kurushiana picha za wafu ili muelewe vizuri.
Hili swali ulipaswa kumuuliza Majaliwa aliyetoa takwimu toka chanzo feki. SSH anatakiwa kuwa makini na Majaliwa maana lengo lake si zuri kwake.Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Watu bil.4??Mtu aliyekuwa akifuatiliwa hotuba zake na viongozi wote duniani, hasa hasa mwanzoni kabisa mwa gonjwa Tata la Corona, Dunia nzima ilianza kufuatilia hotuba zake, hiyo ilimpaisha na kujulikana Kwa Kasi duniani kote!!
Halafu mtu aone ajabu Kwa tukio hili la kuagwa kwake kufuatiliwa na takribani ya nusu ya watu wote duniani???
Kwa jinsi alivyompaisha mpinzani wake Mh Lissu Kwa kumsema vibaya Jembe bila hata ya chembe ya ushahidi wa matukio alokuwa akimshitaki kwenye midia zote kubwa za duniani, lipi la ajabu Kwa Dunia kufuatilia tukio lake hili la kutoweka Duniani
Kwa jinsi alivyopingana na shirika kubwa kabisa duniani, WHO kuhusu Chanjo ya Corona na namna ya kudili na maambukizi yake,
Namna alivyowashughurikia Kampuni kubwa kubwa za kibeberu kuhusu mikataba ya madini na usafirishaji wa mchanga wa madini, eti asiwe kivutio Kwa Dunia???
Msiwe wajinga basi wajameni!!
Nyie ni zao la elimu duni ya Tanzania. Watu wanakwenda kuangalia maiti kwa sababu mbali mbali. Wewe tayari umeshafikia hitimisho ni mapenzi!Wewe ni Kati ya Watanzania ambao hawakubahatika kulelewa na wazazi wote wawili!!
Vitoto Vya Aina hii Kwa sababu ya kukosa mapenzi ya wazazi basi vina matusi ajabu
Achana na Zwazwa hilo.Una hoja nzuri. Lakini uko nje ya uzi....
Kama kusema fact ni kufura na iwe hivyo. Siwezi kuacha conclusion za kijinga unazotoa hapa zipoteshe wenye akili ndogo.Mbona umefura?
Umekula nini mwenzetu muda huu!!
Au na wewe ni kale kagenge Ka wahuni
Elimu yako imesaidia nini jamii, usikute unavyeti mpaka vinaozeana halafu wewe umekakaaa Ka lijitu lisilo na maanaNyie ni zao la elimu duni ya Tanzania. Watu wanakwenda kuangalia maiti kwa sababu mbali mbali. Wewe tayari umeshafikia hitimisho ni mapenzi!