Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

Kama kusema fact ni kufura na iwe hivyo. Siwezi kuacha conclusion za kijinga unazotoa hapa zipoteshe wenye akili ndogo.
Kwa kipi kizuri ulicho leta hapa mkuu

Unajipaisha badala ya kupaishwa?
Huna tofauti na wajinga wachache waliopo ufipa
 
Mtoa huzi ,sidhani Kama MAREHEM jpm kuangaliwa watu wengi Kama inamashiko, ijulikane jpm alikua rais,so cheo tu Cha Iyo nafasi Hana tofauti na cheo Cha Rais yoyote duniani ukitofautisha kipato Cha nchi moja na nyingine,so huu hatutakiwi kua mjadala,wengine wanashangaa, how tz Rais afie madarakani, nk, simple like that mkuu
 
Pm ni kiongozi mkubwa sana, ni ajabu kuokota vijihabari vya hovyo kwa watu wa dizaini hiyo!!, Lazima awe makini na anachokisema mbele ya watu. 5+Billon asee 😀
Alisema JPM anachapa kazi.. ? Kwa hilo tosha kushusha credit za kuaminika
 
Kwa kipi kizuri ulicho leta hapa mkuu

Unajipaisha badala ya kupaishwa?
Huna tofauti na wajinga wachache waliopo ufipa
Gone are the days when you say ''wajinga wa Ufipa'' you get appointed to be a DC or a minister! Gone are the days when appointments were made basing on ''who is more aggresive'' to opposition. Gone is the killer who enjoy killing innocent people!
 
Taifa la uongo uongo.
CCM ni wazee wa fix balaa, kwanza kitendo cha kificha kwamba Mh. Rais Alikuwa anauwa ni cha aibu!! Ila mshipa wa aibu ushakatikaga....sasa badala ya kutujibu kwa nini hawakumuwahisha kwenye matibabu ya maana nje ya nchi mapema tu baada ya dalili za kifua kuanza kusumbua wao wana promote chama chao kupitia msiba.

CCM Mungu atawapa adhabu nyingime nyie!!
 
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Taifa la uongo uongo.
Watu Bilion 3.4, hawana kazi mpaka wasikilize au waangalie Livestream inayoendeshwa kwa Kiswahili??

Huu UJINGA anaweza akadanganywa MAJALIWA pekee yake maana alidanganywa hata kufa kwa Faru John.
 
Bilioni 3 parefu sana jombaa.
 
Gone are the days when you say ''wajinga wa Ufipa'' you get appointed to be a DC or a minister! Gone are the days when appointments were made basing on ''who is more aggresive'' to opposition. Gone is the killer who enjoy killing innocent people!
Hahaha!!
If someone tells you you are a fool, you will refuse??

You have no reason to refuse at all, because you are here to insult people, Stop being ignorant, focus on the argument

La sivyo uache hii tabia ya kutukana tukana utadhani hukulelewa na wazazi wote wawili
 
Kwanza, hiyo ni namba ndogo sana. Msiba huo umeangaliwa na zaidi ya b5. Pitia video zote za U-tube zinazohusu msiba huoa (ingawa kuna watazamaji wanaorudia) halafu fuatailia viewership ya vyombo vyote vya habari duniani ambavyo vilitangaza na kufuatilia msiba wa Magufuli; jumla yake haipundui 5b.
 
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness

Kwani wewe inakukera?’!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…