Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

Kwanini tunafanya siasa kwenye kitu hichi. Tuwaache wazazi wa Jackie wapumzike.
 
Lakini jamani huyu Jaquline mnayomzungumzia si ndio alisoma Forodhani na kina Lulu Kiluvia, Irene Kiwia na Zainab Kibodya?

Mbona unalalamika? Mleta thread kauliza jack ni mtz au sio hao unawaweka siwajui
 
Hata mimi nifah sio Mtanzania......kazi kwako.

Mi mwenyewe mkimbizi wa kutoka huko Mogadishu .ila nimezaliwa pale agha khan ndani ya ardhi ya Tanzania


Hahahahahahah washaanza kuvimb macho.
 
Last edited by a moderator:
Namfahamu baba yake Jacqeuline Ntuyabaliwe Mengi miaka mingi sana. Mimi na Dr. Ntyuabaliwe tulizaliwa kijiji kimoja cha Kalinzi, Kigoma na tulianza shule pamoja enzi hizo. Dada yake Dr. Ntuyabaliwe anaitwa Regina na anaishi pale Kalinzi hadi leo.

wahamiaji haramu wengi wanapendaga kujisingizia kwamba kwao ni kigoma, wengi wao ni wazushi na waongo huko kigoma ulifuatilia kwa umakini utakuta wengi ni wacongomani na warundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…