bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,012
- 741
Na mimi ni mkikuyu mmenisahau anzeni kunijadiri wazee wa nongwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umejuaje sasa ikiwa hukuwahi kujaribu?
Na mimi ni mkikuyu mmenisahau anzeni kunijadiri wazee wa nongwa
mkuu sikuhamini mpaka uweke picha hapa
Namfahamu baba yake Jacqeuline Ntuyabaliwe Mengi miaka mingi sana. Mimi na Dr. Ntyuabaliwe tulizaliwa kijiji kimoja cha Kalinzi, Kigoma na tulianza shule pamoja enzi hizo. Dada yake Dr. Ntuyabaliwe anaitwa Regina na anaishi pale Kalinzi hadi leo.
mkuu we wa wapi?Hata mimi nifah sio Mtanzania......kazi kwako.
Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania
Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?
Naomba angalizo, wakati tunajadili huu uzi, mtoa mada awe na vigezo vifuatavyo;Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania
Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?
Akawaulize idara ya UHAMIAJI au amfuate Jack mwenyeweMbona unalalamika? Mleta thread kauliza jack ni mtz au sio hao unawaweka siwajui
xenophobia inakuja muda sio mrefu tumechoka ...kwenye siasa tumeshindwa ila kwenye hili mpaka namba moja pichu Ku mkichwasimple minds discuss people...ndo maana hilo nchi haliendelei hovyo kabila au utanzania utakuletea chakula mezani???hapa kazi tuu.
Wazambia na Wamalawi hawana ujinga huo....warwanda na Waburundi wanatutafuta ni muda muafaka kuwachukia hadharani la sivyo watatutawala mileleMmezidi kuwaonea watu wakigoma jamani, mbona waishio karibu na mipakani ni wengi tu, tunduma, kyela, namanga, nk lkn hatuskii wenyeji wa huko wakibuguziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense!Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania
Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?