Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

Sisi wenye majina yanayo anzia na herufi "N" kwa mfano-: NZURIPESA,NTUNGA,NTYUBALIWE,NTUYABALIWE,NTIBA huwa Wana tuhisi hivyo etu wa kwa NKURU kumbe Wala sisi ni waswahili wa humu humu bongoland bhana!
 
Samahanini sana ndugu zangu.
Kuna mganga yoyote anipe dawa niwe mrithi wa mzee machache??
Eeh mnyaaaazi umfanye k Lynn machache anipende! pesa ilaaniwe
 
Tetesi zinasema hata Bwana yule ni Muhutu.
Ruksa kutoa Povu bhna, afu Kagame anajitapa sana kua nchi yetu iko uchi sana kwake. Huenda kweli huyo mtu ni Shushu na hatujui, watu waangalie huenda mzee ka invest hko kwa Kagame afu wakaamua wammalze. Kagame ni mmafia kinyama. Hata kifo cha Profesa wa masheria na makanuni ya likitabu la kuongozea nchi wanasema ana mkono kwenye kifo cha huyoaliekua nguli, aliepigwa risas nyumban kwake
 
Ili ikusaidiye nini ?? Ao wew ni police wa uhamiaji ?? Hahahahahaha kilazas
 
Back
Top Bottom