Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

Namfahamu baba yake Jacqeuline Ntuyabaliwe Mengi miaka mingi sana. Mimi na Dr. Ntyuabaliwe tulizaliwa kijiji kimoja cha Kalinzi, Kigoma na tulianza shule pamoja enzi hizo. Dada yake Dr. Ntuyabaliwe anaitwa Regina na anaishi pale Kalinzi hadi leo.

swali linabaki palepale
 
Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania

Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?
Naomba angalizo, wakati tunajadili huu uzi, mtoa mada awe na vigezo vifuatavyo;
1) Nakala ya cheti cha kuzaliwa cha jackline
2) Nakala ya cheti cha kumaliza elimu ya kidato cha nne
3) Nakala ya hati ya kusafiri au Kitambulisho cha uraia cha baba mzazi/mlezi wa Jackline

Kama vilivyotajwa hapo juu hamna na watoa mada wakaanza kuropokaropoka madudu wanayojua ni bora tukaendelea kucomment mambo mengine ya muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simple minds discuss people...ndo maana hilo nchi haliendelei hovyo kabila au utanzania utakuletea chakula mezani???hapa kazi tuu.
xenophobia inakuja muda sio mrefu tumechoka ...kwenye siasa tumeshindwa ila kwenye hili mpaka namba moja pichu Ku mkichwa
 
Mmezidi kuwaonea watu wakigoma jamani, mbona waishio karibu na mipakani ni wengi tu, tunduma, kyela, namanga, nk lkn hatuskii wenyeji wa huko wakibuguziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazambia na Wamalawi hawana ujinga huo....warwanda na Waburundi wanatutafuta ni muda muafaka kuwachukia hadharani la sivyo watatutawala milele
 
Back
Top Bottom