Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Huyo ni muha wa kigoma sio mtz kivipi, japo mama ake ndo alikua shombe sijui shombe wa wapi
Shombe wa Tinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni muha wa kigoma sio mtz kivipi, japo mama ake ndo alikua shombe sijui shombe wa wapi
....tujadili uchumi wetu jamani!!
We unaonekana ni Munyamurenge
Lakini jamani huyu Jaquline mnayomzungumzia si ndio alisoma Forodhani na kina Lulu Kiluvia, Irene Kiwia na Zainab Kibodya?
Hata mimi nifah sio Mtanzania......kazi kwako.
Kwa kukusaidia tu....mimi ni mhabeshi.
Wewe mgogo wa kibaigwa lini umekuwa mhabeshi?
Kutoka ombaomba hadi mhabeshi, kubali tu kuwa vigunguti inakuhusu
He he he nyie lieni tu.....
Mhabeshi mweee!!
Imekuchoma eeh?Jinyonge kabisa.
Teh teh!! Wewe unawaza kujinyonga tu, ulishajaribu nini?
Kifo huwa kinajaribiwa?
Hebu kajaribu unipe mrejesho inakuwaje.