Unakataa ila kama kweli vile😊, Roman Catholic tukiachana na imani kuna ma genious na mikakati mikubwa sana ya power and wealth.Kwahio na Roma wameona watafute Kiki kupitia uislam yaan na imani inahitaji Kiki duuh...sawa basi hamieni kwenye dini mlio anzisha Sasa si yenu?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Bibi yako alimwambia hivyo babu yako, mama yako akamwambia hivyo mama baba yako, na sasa wewe na mke wako mnaambia hivyo na kuwaambia watoto wenu.Dalili za siku za Mwisho
Duh,"Kadinali Bea alipotushirikisha huko Vatican, alisema, maandishi haya yanalindwa kwa sababu yana habari zinazohusisha Vatikani na uanzishwaji wa Uislamu. Pande zote mbili zina habari nyingi juu ya kila mmoja, ambazo zikifichuliwa, zinaweza kuleta shida na kashfa kwa dini zote mbili.
Ni ujasusi wa kawaida kabisaDuh,
Mpango wa dini moja kuanzisha "dini" nyingine ili kughilibu watu ni jambo la ajabu sana