"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Wanaojaribu kuleta habari tata za kwamba alikuwa na mwanamke, au nini ni wale wa CCM na vibaraka wake kwa kuficha kile kilicho ukweli.

Kamanda hawezi kuwa peke yake lazima alikuwa na ulinzi kisheria, na hivyo walinzi wake wameshawekwa sawa na magamba na pia huenda ndio walioshirikishwa katika kutimiza azima hiyo.

Kinachofanyika hapa ni kupotosha umma ili kuficha ukweli wa tukio.

Mzee naona umekomaa kweli. Humu Jukwani watu wengi wanapenda taarifa za kusisimua tu na chuki kwa watu binafsi. Sasa sijui kama watakuelewa kweli kwani ya mke wa mtu imechukua mkondo wake.
 
Dorothea Lymo, ni mjane wa mume aliyekuwa anafanya kazi tii-ara-ei. Huyu ticha alikuwa anamegwa na mzee mmoja wa kihaya, mbapo mzee huyo ameutelekeza mji wake na kuamia kwa huyo aneitwa dada yake Barow.

Sasa swali liwe, huyo mume wa kufikia alikuwa wapi wakati Barow anamrudisha ticha hadi getini kwake?

Kibanga Msese
 
Wanaojaribu kuleta habari tata za kwamba alikuwa na mwanamke, au nini ni wale wa CCM na vibaraka wake kwa kuficha kile kilicho ukweli.

Kamanda hawezi kuwa peke yake lazima alikuwa na ulinzi kisheria, na hivyo walinzi wake wameshawekwa sawa na magamba na pia huenda ndio walioshirikishwa katika kutimiza azima hiyo.

Kinachofanyika hapa ni kupotosha umma ili kuficha ukweli wa tukio.

Mkuu Candid, wewe huwa mchangiaji wa kufikiri kidogo kwa muda niliokusoma so far.
Whats wrong?
You are going off track!!!
 
die Scheiße ist auf Scheiße Gott sei Dank starb dort sein das Ende aller Lügen und sündige hinfort nicht mehr weinen, seine liebe Frau und Söhne RIP .its nicht die bin glücklich für diese nicht wahr, aber so traurig Kaizer pliz tafsiri kimoyomoyo nisiondolewe bure jf na Meezy

the sh(eet)it on sh(eet)it Thank God dieing there be the end of all lies and sin, no longer weep henceforth, his dear wife and sons RIP. its not'm not happy for this true, but so sad Kaizer
 
hii ni story tu kama zingine soon itapita nothing will happen kama Kamuhunda alivomuua Mwangossi si imepita, au Ulimboka alivoteswa si imepita? RIP Kamanda Liberatus! pumzika kwa amani, tungojee lingine!
 
Mkuu Candid, wewe huwa mchangiaji wa kufikiri kidogo kwa muda niliokusoma so far.
Whats wrong?
You are going off track!!!

Kama jina langu lilivyo ndivo ninavyotaka, kudakia mambo ya kijiweni tunapojadili mambo mazito yatokeayo katika jamii ni hatari ya kufunikafunika ukweli ulijificha nyuma ya pazia, na kumbuka wasanii wanaoongoza nchi hii hutumia mwanya wa hoja dhaifu kujenga mambo yao, lakini huwa sipendi mambo ya vijiweni kuyaweka ndiyo msingi wa majadiliano, kwa sababu hakuna mwanafamilia hata mmoja kutoka katika hawa wawili kamanda na mama aliyemsindikiza kulalamikia wanayotunishiana misuli hapa JF. Bara tujadili mazingira na makandokando ya kifo hicho tukihusianisha na matukio kadhaa ya mfululizo tangu Dr. Ulimboka na hadi tulipo sasa.

Tusipoangalia tutachelewa akili kutusahaulisha mambo muhimu na kuhangaika kujadili mambo ya ngoni yasiyohakikiwa. Mengi wanayojadili hapa ni ya kufikirika ambayo hayaja hakikiwa.
 
a rest in peace kamanda Barlow huku watz tukiendelea kujuzana ukweli wa kilichotukia mpaka kusababisha kifo chake
 
Kama jina langu lilivyo ndivo ninavyotaka, kudakia mambo ya kijiweni tunapojadili mambo mazito yatokeayo katika jamii ni hatari ya kufunikafunika ukweli ulijificha nyuma ya pazia, na kumbuka wasanii wanaoongoza nchi hii hutumia mwanya wa hoja dhaifu kujenga mambo yao, lakini huwa sipendi mambo ya vijiweni kuyaweka ndiyo msingi wa majadiliano, kwa sababu hakuna mwanafamilia hata mmoja kutoka katika hawa wawili kamanda na mama aliyemsindikiza kulalamikia wanayotunishiana misuli hapa JF. Bara tujadili mazingira na makandokando ya kifo hicho tukihusianisha na matukio kadhaa ya mfululizo tangu Dr. Ulimboka na hadi tulipo sasa.

Tusipoangalia tutachelewa akili kutusahaulisha mambo muhimu na kuhangaika kujadili mambo ya ngoni yasiyohakikiwa. Mengi wanayojadili hapa ni ya kufikirika ambayo hayaja hakikiwa.

Nimekusoma mkuu.
Naungana na wewe kuwa Polisi kwa miaka ya karibuni imekosa weledi na proffessionlism.

Lakini ni ukweli unaoanza kujitokeza kuwa Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ambaye si mke wake wala si dada yake kama inavyoelezwa.

Indscipline siyo kukataa amri tu , bali hata kutotekeleza mtwakwa ya tabia za ki-utu na za za kijamii.

Kuwa na mwanamke saa mbaya za usiku wa manane ina maelezo gani kama si ufuska.
Na bahati mbaya kama mwanamke huyo ni mke wa mtu mambo yanakuwa mabaya zaidi.Kwamba kosa hilo linatendwa(halijathibitishwa) na kamana wa Polisi wa Mkoa ni kielelezo tosha cha ukosefu wa nidhamu katika jeshi la Polisi.

Na hili tatizo limejionyesha katika sura mbili, TWO DAYS IN A ROW, kwa afisa mmoja wa Uhamiaji kukoswa koswa na askari mwingine kwa sababu tu ya kunyamazishwa malalamiko yake ya kuchukuliwa mke wake.

Mauaji ya wananchi wasio na hatia ni kielelezo kingine cha kuzorota kwa maadili, weledi na proffessionalisn katika jeshi letu la Polisi.

Ni kweli wanaojadili symptoms za matatizo haya hawaoni the bigger picture, na mimi sioni ni kwa jinsi ipi hata serikali yenyewe itayapuuzia matatizo haya.

Wengi tumesema awali na tunasema sasa , tusipoziba ufa tutajenga ukuta.
Leo polisi na watumishi wengine katika vyombo vya dola wana tafutana kwa kuuana , sababu ya wanawake-what indisciplie!
 
nadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??

Walimuacha coz hawajui kwa sura na yeye hakua target.
 
ukikubali kula cha mtu kubali na chako kiliwe kama kamanda alikua anayatenda hayo akwa mke wa m2 basi ajue kwamba malipo ni hapa hapa duniani kwani Mungu wa sasa yuko facebook uki-log in tu unapatikana.
 
Nimekusoma mkuu.
Naungana na wewe kuwa Polisi kwa miaka ya karibuni imekosa weledi na proffessionlism.

Lakini ni ukweli unaoanza kujitokeza kuwa Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ambaye si mke wake wala si dada yake kama inavyoelezwa.

Indscipline siyo kukataa amri tu , bali hata kutotekeleza mtwakwa ya tabia za ki-utu na za za kijamii.

Kuwa na mwanamke saa mbaya za usiku wa manane ina maelezo gani kama si ufuska.
Na bahati mbaya kama mwanamke huyo ni mke wa mtu mambo yanakuwa mabaya zaidi.Kwamba kosa hilo linatendwa(halijathibitishwa) na kamana wa Polisi wa Mkoa ni kielelezo tosha cha ukosefu wa nidhamu katika jeshi la Polisi.

Na hili tatizo limejionyesha katika sura mbili, TWO DAYS IN A ROW, kwa afisa mmoja wa Uhamiaji kukoswa koswa na askari mwingine kwa sababu tu ya kunyamazishwa malalamiko yake ya kuchukuliwa mke wake.

Mauaji ya wananchi wasio na hatia ni kielelezo kingine cha kuzorota kwa maadili, weledi na proffessionalisn katika jeshi letu la Polisi.

Ni kweli wanaojadili symptoms za matatizo haya hawaoni the bigger picture, na mimi sioni ni kwa jinsi ipi hata serikali yenyewe itayapuuzia matatizo haya.

Wengi tumesema awali na tunasema sasa , tusipoziba ufa tutajenga ukuta.
Leo polisi na watumishi wengine katika vyombo vya dola wana tafutana kwa kuuana , sababu ya wanawake-what indisciplie!

Kwa upande wa discipline wakoloni walishawaandalia majeshi yetu kila jeshi kuwa na bwalo la maofisa wake ili yanayowakuta huku yawe ya kijeshi, lakini leo wameruka ukuta wako uraiani, sasa yanapowakuta ya uraiani kama ni ya kweli au mwenendo wa kutafutana udhaifu wa kuruka ukuta wa bwalo la maofisa kufikia uraiani umesaidia kufikia malengo ya watawala, kwa vyo vyote kuna kitu kinakosekana katika sheria, taratibu na mfumo wa jeshi hilo nchini. Fumua fumua ni muhimu ili kulijenga polisi lakini si katika utawala huu, ila chama kingine kikiunda serikali hilo linawezekana.
 
nadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??
Ingetokea iringa lazima wangesema chadema wanahusika
 
Back
Top Bottom