"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

But tangu lini polisi jamii wanalinda na bunduki?
 
huyo mwenye mke si aingie humu JF atuweke wazi! au ndo watamdaka akawasaidie pamoja na mke wake?

mke wa mtu gani?mbona wambongo tu wagumu wa kuelewa?IMESHASEMWA ALIKUA MJANE.BADO WATU MNATUPIGISHA MARKTIME TANGU JANA...KHA...!!
 
Safi sana.Hii ni sehemu ya mapinduzi.Hawa mbwa walizoea ua watu kwa Jeuri na kuandishwa vyeo.Sasa polisi Jamii nao wapandishwe vyeo.Wameua mwizi mwenye silaha(kaiba mke wa Mtu).Alipaswa tuma vijana wampeleke au mama achukue taxi.Sasa kama huyu RPC kachukua uamuzi wa kutishia wakati akiwa amechukua mali za watu ni wazi kuwa hana tofauti na JAMBAZI.Jambazi ni mwizi wa silaha(Armed robbery).

Hope kazi imeanza.Bado IGP, na mbwa wengine.Kova nae alikimbia Mbeya,walikuwa wamwangosi.
 
lakini huyo mama si anaitwa Lyimo, anadhani hata marehemu nae hi hao hao akina Lyimo!
 
Ndio maana ukiangali taarifa mbali mbali zinazotoka, yawezeka wametumiwa na watu fulani fulani, si dhani kama ni ujambazi wa kawaida huo

But tangu lini polisi jamii wanalinda na bunduki?
 
if that story stil hold true! mbona kuna videmu ving 2 tena vko single jamani? nyumba za watu hazliki wala hazlalik kwa sabab ya pesa za walipakod.... mficha maradh....?
huyo kamanda huwa haingii jf mbona single wapo wengi angekuja humu tungempa Smile
 
Last edited by a moderator:
 
mim naona ni sawa tu kama alikuwa anapenda kubeba wake wa wenzake ni afadhali akapunguzwa ili wale wenye tabia kama yake na vyeo vyao watambua sasa watu wana hasira walee wao ndani wapendeze mke wa mtu sumu bwana.
 
lakini huyo mama si anaitwa Lyimo, anadhani hata marehemu nae hi hao hao akina Lyimo!

Umeambiwa Dorothy ni mjane wa marehemu Modest Lyimo ambaye alizaa naye mtoto mmoja. Na baada ya kifo cha huyo Lyimo, Dorothy alizaa watoto wengine wawili na mwanaume mwingine ambaye hatajwi. Kwa hiyo uhusiano wake na marehemu kamanda kama upo ni wa "shemeji kula". Kumbe lisemwalo lipo. Mwanzoni nilidhani marehemu anapakaziwa.
 
Kuna mtu alikuwa anatuapia kwamba kweli ni ndugu!! Mwalimu ni dada wa Marehemu!!

Mwalimu Dorothy ni mjane wa mtu aliyeitwa Lyimo, ukoo mmoja na marehemu kamanda Barlow. Lakini baada ya kifo cha Lyimo Dorothy alianzisha uhusiano na mwanaume mwingine na kuzaa naye watoto wawili. Kwa hiyo hata uhusiano wa ushemeji na marehemu Barlow haupo maana ndoa ile (chanzo cha ushemeji) iliishia kwenye kifo cha mumewe na pia aliendelea na mambo yake na wanaume because she was free. Kwa hiyo hii ni kitu ilikuwa available kwa yeyote including Barlow aliyeifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…