"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

Juzi tu hapa nimeweka Posti kwamba katika taarifa za Mauaji ya Mwangosi, si tu kwamba Polisi haina uhusiano mzuri na Waandishi wa Iringa, bali Polisi haina uhusiano mzuri na Wananchi wote wa Tanzania!

Mimi binafsi nasikitika na mauaji haya, lakini ukweli ni kwamba sisikii uchungu juu ya kuuwawa kwa huyu RPC ambaye juzi tu hapa alikuwa akifanya kejeli Polisi walipotaka kumuua Ofisa Uhamiaji.

Mauaji ya huyu RPC liwe onyo kwa Polisi wote nchini, kutia ndani na RPC wa Iringa, kwamba wanapaswa kuwa na uhusiano mzuri na raia, kuacha unyanyasaji na kutii maadili ya kazi zao. Wao, kama watu wengine, wana "ulika" pia, wasidhani kuwa kwao Polisi basi wanaweza kuwachezea raia wengine bila baadhi ya raia hao kujichukulia hatua mkononi. Nilisema wasidhani kwamba kila Mtanzania ni mjinga wa kukubali unyanyasaji wowote Polisi inaotoa.
 
Hii video naona wanasema ni toyota double cabin na wakati habari nyingine zinasema ni RAV4,yani vurugu tupu!bongo bana!Which one should be reliable?

Kama kuna RAV4 Double cabin,then ma bad!

Nimeweka makusudi ili kuonesha hata wanaopaswa kutoa habari rasmi wanajichanganya.

Umakini unakosekana kabisa.
 
Sijawahi kuchanganywa na habari JF kama hii yaani mpaka kuelewa lipi ni lipi imekuwa ngumu. Nimejiuliza maswali mengi likiwemo kwanini walimuua Barlow tu na siyo huyo dada pia? simaanishi nilitaka huyo dada auwawe. Yaani kama kitu kilipangwa. Tusubirie taarifa zaidi toka jeshi la polisi!! RIP
Sasa na hao polisi wasije kurudisha kisasi kwa watu siyo maana hawakawii kuchacharika kuua raia wataowahisi kwenye hili tukio.
 
Kawaida ya polisi ni kudanganya hata taarifa wanazotoaga kwa waandishi wa habari kama 'press release' huwa wanachakachua kwanza.
 
Binafsi nafahamu hiyo nyumba ilipo, na wala hakuna uchochoro ili kuingia pale ndani. Nyumba ya huyo mama na barabara vimetenganishwa na mtaro tu, ambao ukiuruka unakuta geti lililoko ubavuni kwa mbele kabisa ya uzio wa hiyo nyumba!! (kulia kwa mtu anayeitazama hiyo nyumba kwa mbele)

Kuna wakati tunatakiwa kutafuta ukweli kabla ya kuanza kuwaaminisha watu uongo humu!

R.I.P kamanda Barlow.
 
Hoja yako ina-logic nzuri sana. If A = B and B = C, then A = C
 
Polisi jamii walimfananisha RPC na jambazi,walitega mtego naye akatokea muda huohuo na alikuwa anatumia gari la aina ile ile ambayo intelijensia ya polisi ilikuwa na habari nalo.

kwi,kwi,kwi,kwiiii...! Ni maneno ya mwisho ya marehemu kwenye media akiunga mkono mashambulizi ya vijana wake dhidi ya afisa uhamiaji!
 
Nabado angalieni sana chuki mmeianza wenyewe mmeanza kwa ulimboka na mme maliza kwa mwangosi. tambueni kama uliua kwa upanga utakufa kwa upanga! tambueni nyakati na majira zimetimia!
 
ukiuwa kwa bunduki nawe utakuwawa kwa bunduki
:spy::spy:
 
nadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??

mkuu mbona wanasema walimpiga risasi shingoni then wakampora bastola yake na radio call. ila toka lini polisi jamii wana silaha za moto?kuna walakini hapa
 
Umesema vema mkuu,hivi polisi jamii hampo hapo iringa????how long does it take kummaliza KAMUHANDA???au somo halijaeleweka???hata kama analindwa sana mpigeni ambushi walinzi wake sio issue watasambaratika tu.
 
nadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??
inavyoonekana walikuwa wamelewa sana hivyo ikawa rahisi kumnyanya silaha au pengine alifumaniwa live akimaliza cha mwisho si unajua ukikamatwa ugoni huna nguvu hata kama ni rais ananyong'onyea basi akanyang'anywa silaha na kumuua yeye mwenyewe
 
mkuu mbona wanasema walimpiga risasi shingoni then wakampora bastola yake na radio call. ila toka lini polisi jamii wana silaha za moto?kuna walakini hapa

walikaa upande gani wa gari hadi wanchape moto huyu jamaa bila mkwepa huyo mama kwa makusudi?sijaribu kusema haiwezekani,ila kun aoptions chache sana.Mfano aliyefetua risasi ya shingo ,ili aweze fanya hilo zoezi bila kuwa ndani ya gari,basi anahitaji awe kwenye angle fulani usawa wa site mirror ili kioo cha mbele kisiwe kikwazo.Upande wa mwanamke ni mgumu kwa vile inabidi amkwepe mwanamke bila kujeruhi wengine upande wa pili.

Kwa ujumla kuna options kidogo sana za hilo zoezi kufanyika ktk gari.Huyu jamaa anaweza kuwa alipigwa moto nje ya gari.Na huko nje alikuwa akifanya nini?
 
Sometimes women are source of problems,although they play a big party in social development.Tumuombee kwa mwenyezi mungu amuweke mahala pema kwani nasi tuko njia moja angawa kwa dhambi tofatix2.
 
mkuu mbona wanasema walimpiga risasi shingoni then wakampora bastola yake na radio call. ila toka lini polisi jamii wana silaha za moto?kuna walakini hapa

walikaa upande gani wa gari hadi wanchape moto huyu jamaa bila mkwepa huyo mama kwa makusudi?sijaribu kusema haiwezekani,ila kun aoptions chache sana.Mfano aliyefetua risasi ya shingo ,ili aweze fanya hilo zoezi bila kuwa ndani ya gari,basi anahitaji awe kwenye angle fulani usawa wa site mirror ili kioo cha mbele kisiwe kikwazo.Upande wa mwanamke ni mgumu kwa vile inabidi amkwepe mwanamke bila kujeruhi wengine upande wa pili.

Kwa ujumla kuna options kidogo sana za hilo zoezi kufanyika ktk gari.Huyu jamaa anaweza kuwa alipigwa moto nje ya gari.Kwani ili kumuua ktk gari bila kuwepo ndani n apakiwa na watu wengi,kunahitaji precision kubwa sana, huku pakiwa na uangalifu ili wengine waliopo wasidhurike.Na huko nje alikuwa akifanya nini?Police inabidi waache ukanjanja ssiku hizi kwani wanaishi ktk dunia hatarai kadii wanavyojitahidi hatarisha wengine.Pia lazima wasome trends.Kama kuna ishara zionyeshazo kuwa mtu keshenga na kukuza maadui,basi wawe na radical change in behaviour.Sasa hili jambo wakifanya usanii, litakuwa mwanzo tuu wa watu kuanza wafeka wengine nchi nzima.

Nilishawahi to angalaizo kuwa polisi wasidhani kuwa wapo salama sana kama wanananchi wataamua kutoogopa sheria,au kujibunia njia za kukwepa sheria.Ila polisi wetu wana kiburi sana.Huwa wanaamini hakuna wa kuwafanya kitu,ingawa wanajua jeshi halina hata uwezo wa kuwapa nyumba kambini.Pia tabia zao zinawafanya wawe vulnerable ktk jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…